Wahindi na Waarabu wanawachukia Wachagga sana, kwa nini?

Status
Not open for further replies.
Ukweli unabaki kuwa ukweli................sisi weusi ndiyo tunawabagua wahindi au wao ndiyo tunawabagua?

  • 90% ya migogoro yote ya ardhi nchini ni wahindi kutaka kuzulumu ardhi...tuitaje muone
  • Migogoro ya serikali ya mahoteli kukwepa kulipa kodi hasa huko mbugani, wao
  • Wewe una demu wa kihindi au unamjua mweusi mwenye demu wa kihind?
  • Wameshaingia bungeni, bado kugombea uraisi, india utaweza fanya hivyo hata kama babu yako alizaliwa kule?
  • Ukifanya kazi kwa muhindi na mihindi, hata kama umemzidi cheo lakini yeye atakuzidi mshshara hata mara 3
  • Nyumba za NHC za mjini ni maalumu kwa wao tu, mbona sio majirani zetu mbagala, tandika, manzese, kwa mtogole?
  • Hali za House girls wanaofanya kwa wahindi, na wanavyolipwa na kutuwa mnazijua vile zilivyo mbaya?
  • Vibarua wafanyao kazi kwa wahindi, hufanya kazi karibu masaa 12 kwa siku malipo duni, kunyanyaswa na pengine hawana ajira ya kudumu.
  • wewe jumaaaa, veve tapeleka mama nyumbani halafu tasaidia yeye fua guo. kishamaliza veve halafu fata mimi
  • Dalali wa rada, muhndi
  • Mmiliki wa dowans....sikumbuki wa wapi
  • Uuzwaji tata wa majengo ya nssf...!
  • Halafu kwenye foleni za benki au kwenye foleni za ATM siwaoni sikuhizi.

Ila ninaachowasifu kitu kimoja, ukiona biashara ambayo muhindi hafanyi, basi usifanye kwakua hutapata maendeleo nayo....muhindi hauzi mkaa bwana!
 
Sasa naona mnaanza kubaguana taratibu kutoka UDINI sasa mnakwenda kwenye Ukabila kwa kujaribu kumtafuta mchawi.

Kikubwa kilichopo kwa wwenzetu ni kukosa ubunifu na kupenda biashara za kuigana. Kama ilivyo wengi wao biashara yao kuu ni Bar tu na wachache sana biashara ya vyombo vya usafiri kama mabus na ujambazi.

Nafikiri sasa ni wakti wao kufikiria mbali zaidi kwani wanatakiwa wajue kuwa Biashara ni kama mtoto kila siku anakuwa. Hivyo kama watakosa ubunifu na kuendeleza suala la kuigana na mazoea watakuwa chini kila siku na kubaki kulaumu Waarabu na wahindi.

Msitafute mchawi bali mjitathmini kwanza kwanini mnachukiwa.
 
Unajua Wachagga wanajidanganya sana eti wamewakimbiza wahindi na waarabu! Wahindi na Waarabu wamekusanya pesa siku nyingi saizi wame Fetch kwenye Industrial and International deal, hotel, Company, endeleeni kujidanganya
umesema vyema mkuu,,, nimefanya kazi na makampuni kadhaa ya kihindi hapa arusha,,, ni ukweli usiopingika kuwa wameamua kuwekeza katika biashara kubwa kubwa na ndio maana utakuta asilimia kubwa ya viwanda arusha vinamilikiwa na wahindi huku sisi wabongo tukijidanganya na vijiduka vyetu..... sasa hivi wahindi wanafikiri juu ya billions wakati sisi tunaishia kufikia millions....ni mtazamoa tu wanajamii
 
Wame fetch ndio nini'wakati mwingine unakuwa kama hufikirii
 
Wakwepa kodi wakubwa duniani HAPA TZ NI WAHINDI NA WaRABU.

ni nani anayependa kulipa kodi? hivi ukiangalia payslip yako unafurahi kuona hiyo PAYE? hata ungekuwa wewe unaachiwa loopholes za kukwepa kodi ni lazima ungekwepa..... kama serikali haifuatilii wala kuchukua hatua unafikiri watajipendekeza kulipa wakati wanatafuta FAIDA... think again mkuu
 
Sijui suala la udini hapa linaingiaje? Ni kweli kwamba Mengi na Manji hawaivi, nakubaliana na mleta uzi, huenda sababu moja wapo ikawa hiyo ya wahindi na waarabu kuwachukia Wachaga kwani nao wanajua biashara, hivi Mengi na Rostam Azizi, Jitu Patel, Yusufu Manji wote siwapo magamba? though dini tofauti? ninahakika kama kina Manji wanawachukia kina Mbowe si kwasababu ya upinzani wao (vinginevyo wangekua na uhusiano mzuri na Mengi)la ila kiachosababisha wawachukie ni kule kuonesha Watanzania jinsi gani wanavyo firisi nchi, hapa tena suala la dini linatoka wapi? Guys, can't think and reason things without religious boundaries? kweli Magamba wameharibu nchi hii, kila kitu siku hizi ni huyu dini gani, wakuu tunaenda wapi?

Issue kwamba Waarabu na Wahindi kuwachukia Wachagga hiyo iko wazi tu, kitu kimoja ambacho huwa sikielewi ni hiki; Utakuta wazawa wengine pia hawawaamini wachagga eti tu kwa vile walo talented kwenye biashara, hii hata Nape huwa inamsumbua pamoja na magamba wengi, nacho shindwa kuelewa ni hiki, kwanini hatuwaamini wachaga lakini sisi hao hao tunawaamini Wahindi na Waarabu? Hivi hizi nazo ni dalili za utumwa sio? Let us just assume this, wafanya biashara wote ni wezi then bora yupi, mchaggga au Mhindi? Mchaga atajenga hapa hapa, ataoa/kuolea hapa hapa na atawekeza hapa hapa, na je hao Wahindi? mbaona wanang'ang'ania kukaa kwenye National Housing? unafikiri wanajenga wapi? Guys, let us think outside the box!
 
Labda utuweke wazi. Ni talented kwenye biashara gani kama si BAR, UJAMBAZI, na biashara za Mabus?

JIPAMBANUE.

Watu mtatofautiana saana ila ukweli utabaki pale pale mnachokiandika hapa jf sio mnachokijua kutoka moyoni, hata kama ni vibanda wala sio maduka ila huduma zao mnazitaka haipiti wiki bila kununua kitu dukani au kibandani kwa mangi iwe vocha, mafuta, nguo hata pipi na hata maji ya kunywa, hilo halipingiki ndio utataribu wao jamani mbona hamlalamiki wamasai kufuga wanyama au wasukuma na ngombe 1000 ila bado anakaa kwenye nyumba ya nyasi? Hapo mtasemaje? Acheni ushabiki ambao haujengi na wivu usio na maana hili jukwaa ni la siasa na sio kuoneana wivu na sote ni watanganyika ukiona mwenzako kaendelea jibidishe uendelee zaidi na sio kutoleana maneno ya kejeli na sisi watu wa kigoma tusemeje na huku huduma tunapata kwa mangi? Unataka niwe na chuki nao? Ujinga mtupu watu humu ndani hatujengani na vile vile namshangaa sana anaecontrol hili jukwaa hiyo topic ilikuwa inatakiwa kufutwa mara moja sijui bado amelala?
 
Mchaga hatawaliki na hao jamaa, ni wajanja
Nani kakudanganya? Wewe unajua kuwa wachaga wengi ndio wanatumiwa na wahindi?Wakisha pewa % wanakuwa waaminifu sana. Hivi wewe unaamini Mengi ndio anamiliki hiyo company? Kaeni mmelala nyie.

Hawa jamaa wamekuja na strategy mpya, wanaweka mzawa mbele wao hawajulikani, na hii imefanikiwa sana kwa sababu watu wengi wameingia mkenge,including GT wa JF.

Tanzania hakuna Tajiri mzawa, kaeni mkijua hivyo
 
umesema vyema mkuu,,, nimefanya kazi na makampuni kadhaa ya kihindi hapa arusha,,, ni ukweli usiopingika kuwa wameamua kuwekeza katika biashara kubwa kubwa na ndio maana utakuta asilimia kubwa ya viwanda arusha vinamilikiwa na wahindi huku sisi wabongo tukijidanganya na vijiduka vyetu..... sasa hivi wahindi wanafikiri juu ya billions wakati sisi tunaishia kufikia millions....ni mtazamoa tu wanajamii

umesema vema pia ila hata wahind walianza kwa shs moja then milion na kufikia bilion.pia si wahind wote wana pesa so hao ndo walokimbizwa na hao jamaa zetu wachaga.lazima tu mu award mtu kwa zuri.hawa wachaga ni mshumaa wa maendeleo ya kiuchumi hapa tz kwa watu weusi.hawana tabia za kikwere.they are fighters
 
Sisi sote ndugu tatizo ni MAGAMBA,Wanakumbatia rushwa,na matajiri huku wakiwatupu maskini walio wengi,
Hiyo imesababisha matabaka na kubaguana,asilimia kubwa ya maduka yaliyopo UHURU ROAD ARUSHA NA YALE YA DOUBLE ROAD MOSHI yanamilikiwa na wahindi kwani majengo wamepewa na mafisadi,kwa nini nchi isiwe na sera ya wazawa kwanza,
KWETU KWAO KWA NINI?ILHALI KWAO SI KWETU?
 
Labda utuweke wazi. Ni talented kwenye biashara gani kama si BAR, UJAMBAZI, na biashara za Mabus?

JIPAMBANUE.

Barubaru, inaonekana hujarudi home siku nyingi sana, may be una nusu karne hutatia timu Tanzania au ukitia timu huku, wewe na masuala yako ya uenezaji wa chuki tu na sio kingine, kwani wamiliki wa njia kuu za uchumi hapa nchini (nikiwa na maana ya wazawa) ni watu gani, mwangalie mzee Mengi, nenda kwa wamiliki wa Precision Air n. k ni watu gani? hata wamiliki wa makampuni ya mabasi yaendayo mikoani kwa wazawa, watu gani wanaoongoza? Unaposema majambazi, hapo labda sikuelewi; Wizi mkubwa wowote unaoujua katika nchi hii, majina ya akina Jetu Patel, Rostam Azizi, Yusufu Manji, huwezi kuyakuta, mbaya zaidi watu hawa, huwa wapo juu ya sheria, hata wakipelekwa mahakamani, huwa hawafungwi hawa, tazama swaga la EPA, RADA, IPTL n.k, kama kuna mchaga humo utakuta ni vijifedha kidogo, sikubaliani na wewe kuwa biashara ya Bar ni ujambazi, kwani serikali yako inachukua wapi kodi za kuendesha nchi? tofautisha kilicho haramu kwa imani yako na katika nchi, though hata katika Ukristo nadhani ulevi ni dhambi but hiyo ni masuala ya dini, hilo pia ndilo lilisababisha hata Wailsam wengi wasisome kwenye shule za mission enzi hizo eti ni haramu.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom