Wahindi na Waarabu wanawachukia Wachagga sana, kwa nini?

Status
Not open for further replies.
sina cha kusema! na sinaga tamaduni za kumbagu mtu kwa tofauti ya dini,kabila,rangi,..........lakin naumiga sana kwa hawa wageni waokuja tz na kutudharau!!!!!!!
 
hongera umeongeza idadi ya post hata kama ulichoandika ni upuuzi...a great stinker!!!! ppuuuu!!!

nashangaa hivi JF inaelekea wapi, awali lilikuwa ni jukwaa la kujifunzia ya maana lakini tangu pavamiwe na watu wapuuzi busara imekaa kando na upumbavu umetamalaki kila pahala....what a shame!!!!!

Wengi wao ni day worker sasa kama hakuna mzigo inabidi wajifurahishe na visimu vya kichina.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom