Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,645
Mbweno?
..............mwenye suti ana mtaji mkononi !hoto:
Mbweno?
Lakini kwenye mapenzi wna ushirikiano sana..
Kama ungekuwa umefika sehemu nyingine za kanda ya kati. Usingeiponda bk mkuu
kusema hapaendelezwi nimepaponda?? nadhani ungemwambia aliyeanzisha huu uzi ndo kaponda huko mie naongea reality aisee sio mambo ya kupond ana chuki chuki za kikabila kama ulizonazo wewe
Mkuu yamekuwa hayo? Hivi unanijibu mimi au mwingine? Mimi nimeuliza swali tu. Ni kosa kuuliza? Kama huna jibu si unapita tu? Nini kilichokuudhi au kukukera kwenye swali langu? Jifunze kuwa muungwana kwenye mijadala ya wazi kama hapa JF vinginevyo unajidhalilisha sana. Tuliosoma vitabu mbali mbali tunaambiwa ukitaka kujua tabia ya mtu ni pale atakapofungua mdomo kwenye hoja mbali mbali au kwenye maandishi yake. Sikujui lakini tayari kwa maandishi yako nimeshakuweka kwenye kundi unalostahili kuwemo.
Mimi swali langu liko palepale, kwa nin mmepaona bk tu? Wakati kuna sehemu nyingine nying hazijaendelezwa.
Mim sina chuki yoyote ya kikabila, ila wewe ndo una chuki ya kikabila, ambayo imekufanya uone ni bk tu ndo hapajaendelezwa wakati nina uhakika pameendelezwa ukilinganisha na mikoa mingine.
Halafu unasema reality?
Mwehh yani pale ndo umebadilishwa?? Honestly nilipofika pale mjini sikuamini mara kumikumi mbona hata wilaya tu ya same nzuri kushinda ule mkoa.... Kale ka picha kamgomba pale round about ndo tunapopigiaga picha za harusi kama round about nzuriiii za Dodoma.
Iko dhana potofu kuwa maendeleo yanapimwa kwa uzuri wa majengo na miundombinu nyingine iliyoko mijini.Mfano,kama jiji la Dar ni zuri basi hata wenyeji wenye asili kama wazaramo watakuwa wameendelea.Kigezo hicho siyo kamilifu na hakionyeshi hali halisi. Ukweli mji wa Bukoba uko nyuma kimiundombinu lakini miundombinu ya vijijini na mwananchi mmoja mmoja uko mbele sana. Fuatilia nyumba za wenyeji wa Bukoba huko vijijini, nyumba za ubora wa kiwango cha tembe au manyata ni chache sana au hazipo.
Mkuu kuna jamaa yangu alitokea Tukuyu akahamishiwa Bukoba kikazi. Alipofika BK akafanikiwa kufungua kaduka kake, aisee wahaya ni wabaguzi hadi katika manunuzi. Hawaji dukani kwako kama sio Mhaya. Jamaa akajikuta kwa siku anauza sigara moja au mbili tu, akafunga duka. Ni pale Rwamishenye
Huwezi kukuta nyumba za tembe vijijini na huwezi amini majumba vijijini yote utakuta ni self contained,umeme hadi migombani.
huyu anayesema kasahau kuwa hakufika bukoba kaadithiwa, na nahs anafanya research maana kutupia thread hii alijua tutamueleza yafuatayo, 1.bukoba ina uwanja wa ndege mkubwa na mzuri unazid viwanja ving sana,2, bukoba ina hotel za kitalii kubwa za kimataifa zaid ya kumi, si kama kigoma au tabora au mtwara, mnaojua mtawatajia hzo hotel, 3, hakuna kichochoro au barabara isiyo na rami,4, ina access ya mikoa na nch zote, ina bandari kubwa, ina shule za kimataifa zaid ya 15 sekondary, englsh medium tukianza kuzitaja utashndwa kuorodhesha, 7, nan asiyejua majengo na structure ya mji ni nzuri, PIA MALIMBUKEN WANASIKIA KUWA MAENDELEO NI KUENDELEZA MJI TU, MJIN HAPAHUSU SANA KAMA HUJAJENGA NYUMBAN KWENU, WAULIZE KANYIGO, MUGANA, ISHOZ ,KARAGWE, IBWELA, KATORO HVYO NI VIJIJI NA KATA ZILIZO NA HADHI YA KUWA MIJ, HUWEZ KUZILINGANISHA NA VIJIJJ VYA SINGDA ,DODOM. TABORA, AU KWINGNE NI BORA UTEMBEE UONE MAENEO YA KEMONDO, GERA, KATOM, KYAKA,NA PENGNE,
acheni ujinga kulaumu wahaya,hapa nchini hakuna manisipaa iliyojengwa na wenyeji,mnataka kuniambia miundo mbinu yote iliyopo dodoma,imejengwa kwa nguvu za wagogo na warangi?.mi nimefika dodoma 2006,mji ulikuwa wa hovyo,leo mitaa yote rami! Ni kazi ya wagogo! Seriously!.bk tatizo ni kubwa kuliko mnavyofikiri,acheni kuwa wavivu wa kufikiri.Arusha vp au nayo,wenyeji walichanga hela wakapajenga pakawa vile,Think people! Acheni pety politcs.mtwara je,kwenye jamii iliyo nyuma kuliko zote Tz,lakini mkoa wao unavutia kuliko Bk,je hao fedha walitoa wapi?
Kupitia title ya uzi huu ni rahisi kujua anatoka wapi.Muulize mwanzisha mada anatoka mkoa gani? Maanake makabila yanayojenga kwao yanajulikana wakiwemo wahaya.
Kinachowaponza ni roho ya ubinafsi waliyonayo, kila mtu anataka ajionyeshe yeye ndiyo yeye ili wenzake wampigie magoti! Ndio maana wao wenyewe hawapapendi kwao ila wakiwa dar ni misifa tu, mji umekuwa kama upo goma (drc)!!! Mi mala ya kwanza ckuamini kama hapo ndio bk, stend ovyo, soko ndio majanga.Na kitu kingine ni wabaguzi sana kwa watu ambao sio wahaya hususani ukiwa mfanyakazi wa serikali mbona utakoma, wao wanadhani kila mtu aliyoko pale ni muhaya!!! Na huu mkoa hautakuja kuendelea kamwe.
Mkuu kuna jamaa yangu alitokea Tukuyu akahamishiwa Bukoba kikazi. Alipofika BK akafanikiwa kufungua kaduka kake, aisee wahaya ni wabaguzi hadi katika manunuzi. Hawaji dukani kwako kama sio Mhaya. Jamaa akajikuta kwa siku anauza sigara moja au mbili tu, akafunga duka. Ni pale Rwamishenye