Heheheee na wewe ma wife unanijunguka na majungu? Ntakurudisha kwa mtu chake ooh
Hiyo ni typing error au ni nini Erickb52? Umesahau maudhui ya kikao cha jana au ilizidishamo ndofu mkuu? engagement yangu na wake zangu watarajiwa Preta na Blaki Womani si ndio ilikuwa mambo yote? Unanilet down bhana. Mwambie Mungi akupe hadidu rejea.
measkron mwanza pako juu km huamini muulize eliza dominic na charminglady watakujuza. Napanga kurudi tena soon
Filipo nilifika salama na marejesho alifika salama pia, hope hata Blaki Womani hajambo! Salamu zangu kwa PakaJimmy Preta (mwaaaaah) Kabakabana (miss u) Mungi (mambo) Liverpool (leo wapi?) sweetlady (dah....) Arushaone (pamoja)atakuwa alirudi salama. Sijasikia taarifa yoyote kutoka kwa aijipii!
measkron mwanza pako juu km huamini muulize eliza dominic na charminglady watakujuza. Napanga kurudi tena soon
hakuna kesi ya kujibu hapa......kwa sababu hatukukutana na polisi jamii......na hakuna hata mmoja aliyechomwa na kitu chenye ncha kali.......
ndio.....kaka PakaJimmy alinipitisha uchochoroni salama salimini......
Nyie watu hapo Juu, nawashangaa sana mmeshindwa kutoa HADIDU ZA REJEA za kikao cha jana.
Aisee marejeshoUmemsahau LiverpoolFC pamoja na sweetlady
Nashukuru jana tulimaliza kikao salama,by saa saba na nusu wengi wetu tulikuwa home!!
Tulikuwa na taarifa za kiinteligensia kwamba polisi jamii huwa wanaanza kazi saa 8 usiku!!
Hahaaaaa Nicas Mtei! Mkuu nilipewa jukumu la kumsindikiza Kabakabana (a.k.a. Dorcas Mosses wa Jf), nimefika mahali nilipopaki gari nikakumbuka uchochoro wa kamanda Barlow, lakini kwa kuwa mi mwenyewe polisi jamii nilimfikisha salama, nikatoka salama, nikafika home salama.
Erickb52 natumaini hao kina dada eliza Dominic na mwanangu charminglady wewe ni rafiki tu na si zaidi ya hapo maana mwanangu charminglady nilishamwozesha kwa C6 na mungu akijalia mie na mume wangu kipenzi watu8 tutakuwa babu na bibi soon, huyo babu Asprin asidhani yeye ndo babu mwenyewe humu jukwaanimeaskron mwanza pako juu km huamini muulize eliza dominic na charminglady watakujuza. Napanga kurudi tena soon
umeona eeh,karibu tena!
Aisee marejesho
Tunashukuru sn kwa kumfuatilia kila mmoja kama alifika salama usiku ule mnene.
Nakumbuka kupata simu yako saa 10.00 za usiku, nilikuwa naogopa kuipokea, lakini nashukuru ulinitoa wasiwasi kuwa shemegi alikuwa safarini.