Wafuatao wana kesi ya kujibu

hata mie mmeniacha feri wakuu! Kikao gan? Kilifanyika wapi?dhumuni la kikao nin? Kiliisha saa ngapi?naomba nijuzwe Preta et al il twende sawa

my dia....ilikuwa hivi.....
jana tulikuwa tunavunja rasmi baadhi ya ndoa na kuunda ndoa mpya.....matokeo yatatangazwa hivi punde baada ya mwakilishi kutoka JF wing a.k.a Dar kuwasili hii leo....stay tuned.....
 
Last edited by a moderator:
hahaha. Hao waliorodhesha majina yao kwenye kitabu cha Mahudhurio? Mungi hakuamua kukusindikiza?

Hahaaaaa Nicas Mtei! Mkuu nilipewa jukumu la kumsindikiza Kabakabana (a.k.a. Dorcas Mosses wa Jf), nimefika mahali nilipopaki gari nikakumbuka uchochoro wa kamanda Barlow, lakini kwa kuwa mi mwenyewe polisi jamii nilimfikisha salama, nikatoka salama, nikafika home salama.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom