Wafuasi wa Mwendazake wamemwaga ugali, na wa Mama wamemwaga mboga, sasa ni kuvujisha tu siri

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,035
144,387
CHama cha Mafisadi, hivi sasa kiko katika mgawanyiko baina ya wafuasi wa Mwenfazake, na wafuasi wa Mama, na matokeo yake ni chuki iliyopo baina ya pande hizi mbili na chuki hii ndio chanzo cha kuvuja kwa mambo kadhaa ya siri tunayoyasikia sass(vita ya panzi).

Wakati watu wengi wanaamini ile document imevujishwa na mzalendo, binafsi naamini aliefanya hivyo ni wa kundi la Mwendake na alisukumwa zaidi na chuki iliyopo baina ya makundi haya mawili.

Kwa msingi huo huo, bomu alilolipua Lissu Leo huenda nalo ni matokeo ya chuki baina ya makundi haya mawili na kundi husika limempa siri Lissu kama kulipiza kisasi kwa kuvujisha ile document ya. Waarabu.

Kimsingi, kinachoendelea ndani ya chama hiki ni sawa na vita ya panzi faida kwa kunguru (wapinzani).

Msitegemee Lissu ataropoka jambo zito kama hili pasipo kuwa na ushahidi na huenda hata picha za alichokisema teyari anazo sambamba na ushahidi mwingine.

Kingine ni kuwa, kama kaibiwa siri, msitarajie aongee kwa kusema ana ushahidi bali atazuga kwa kuongea kama mtu anaesikia tu ila teyari ameshapewa ushahidi muhimu.

Muda utathibitisha.
 
kwa hiyo it’s not about Bandari zetu tena? Wengi wenu hamjui kwamba Tundu Lisu is the devil, ukimuona anapiga kelele ujue ameachwa kwenye wizi kuna kipindi alimuandama makamba wamamkatia hela akakaa kimya sasa hivi akina rostamu waliamuacha kwenye wizi wa bandari hawakumpa hela akafungua domo kuwatukana wamemtuliza na hela na ndo maana alienda Ulaya aliporudi kageuka kaanza kumtukana Magufuli na siyo kuuzwa kwa Bandari tena kwa na mkataba wa milele, sasa ni Magufuli ndio anaandamwa…

Tundu Lisu evil lkn ipo siku ataingia kwenye 18 za akina rwanda ndio atajua, undumila kuwili huwezi kuwin siku zote ipo siku yake …
 
Tafsiri ya neno kijakazi ni mfanyikazi wa kike anayefanya kazi za nyumbani kwa mwaajiri wake, kwa Kiingereza ni "housemaid".
kwa hiyo it’s not about Bandari zetu tena? Wengi wenu hamjui kwamba Tundu Lisu is the devil, ukimuona anapiga kelele ujue ameachwa kwenye wizi kuna kipindi alimuandama makamba wamamkatia hela akakaa kimya sasa hivi akina rostamu waliamuacha kwenye wizi wa bandari hawakumpa hela akafungua domo kuwatukana wamemtuliza na hela na ndo maana alienda Ulaya aliporudi kageuka kaanza kumtukana Magufuli na siyo kuuzwa kwa Bandari tena kwa na mkataba wa milele, sasa ni Magufuli ndio anaandamwa …

Tundu Lisu evil lkn ipo siku ataingia kwenye 18 za akina rwanda ndio atajua, undumila kuwili huwezi kuwin siku zote ipo siku yake …
Pengine chanzo chako cha habari ni pale ulipokuwa ukitoa huduma kwa mabosi wako hali wakiwa wanalewa. Lakini umejitahidi kunukuu ujinga wao lakini kosa lako ni kuuamni ujinga wao.
 
kwa hiyo it’s not about Bandari zetu tena? Wengi wenu hamjui kwamba Tundu Lisu is the devil, ukimuona anapiga kelele ujue ameachwa kwenye wizi kuna kipindi alimuandama makamba wamamkatia hela akakaa kimya sasa hivi akina rostamu waliamuacha kwenye wizi wa bandari hawakumpa hela akafungua domo kuwatukana wamemtuliza na hela na ndo maana alienda Ulaya aliporudi kageuka kaanza kumtukana Magufuli na siyo kuuzwa kwa Bandari tena kwa na mkataba wa milele, sasa ni Magufuli ndio anaandamwa …

Tundu Lisu evil lkn ipo siku ataingia kwenye 18 za akina rwanda ndio atajua, undumila kuwili huwezi kuwin siku zote ipo siku yake …
Siyo Tindu lissu wewe, yeye anabeba makolokolo yote huwa hamuonei mtu aibu, ngoja inyeshe tuone panapovuja
 
kwa hiyo it’s not about Bandari zetu tena? Wengi wenu hamjui kwamba Tundu Lisu is the devil, ukimuona anapiga kelele ujue ameachwa kwenye wizi kuna kipindi alimuandama makamba wamamkatia hela akakaa kimya sasa hivi akina rostamu waliamuacha kwenye wizi wa bandari hawakumpa hela akafungua domo kuwatukana wamemtuliza na hela na ndo maana alienda Ulaya aliporudi kageuka kaanza kumtukana Magufuli na siyo kuuzwa kwa Bandari tena kwa na mkataba wa milele, sasa ni Magufuli ndio anaandamwa …

Tundu Lisu evil lkn ipo siku ataingia kwenye 18 za akina rwanda ndio atajua, undumila kuwili huwezi kuwin siku zote ipo siku yake …
Panya

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
 
Moja ya tatizo la wa bongo nikuongea vitu visivyo na logic
 
CHama cha Mafisadi, hivi sasa kiko katika mgawanyiko baina ya wafuasi wa Mwenfazake, na wafuasi wa Mama, na matokeo yake ni chuki iliyopo baina ya pande hizi mbili na chuki hii ndio chanzo cha kuvuja kwa mambo kadhaa ya siri tunayoyasikia sass(vita ya panzi).

Wakati watu wengi wanaamini ile document imevujishwa na mzalendo, binafsi naamini aliefanya hivyo ni wa kundi la Mwendake na alisukumwa zaidi na chuki iliyopo baina ya makundi haya mawili.

Kwa msingi huo huo, bomu alilolipua Lissu Leo huenda nalo ni matokeo ya chuki baina ya makundi haya mawili na kundi husika limempa siri Lissu kama kulipiza kisasi kwa kuvujisha ile document ya. Waarabu.

Kimsingi, kinachoendelea ndani ya chama hiki ni sawa na vita ya panzi faida kwa kunguru (wapinzani).

Msitegemee Lissu ataropoka jambo zito kama hili pasipo kuwa na ushahidi na huenda hata picha za alichokisema teyari anazo sambamba na ushahidi mwingine.

Kingine ni kuwa, kama kaibiwa siri, msitarajie aongee kwa kusema ana ushahidi bali atazuga kwa kuongea kama mtu anaesikia tu ila teyari ameshapewa ushahidi muhimu.

Muda utathibitisha.
You are right. Kauli za Lissu siyo za kupuuzia. Kutakuwa kuna taarifa nyeti anazo.
 
Kuna mazito yanakuja kutokana na mpasuko huo , subiri
 
kwa hiyo it’s not about Bandari zetu tena? Wengi wenu hamjui kwamba Tundu Lisu is the devil, ukimuona anapiga kelele ujue ameachwa kwenye wizi kuna kipindi alimuandama makamba wamamkatia hela akakaa kimya sasa hivi akina rostamu waliamuacha kwenye wizi wa bandari hawakumpa hela akafungua domo kuwatukana wamemtuliza na hela na ndo maana alienda Ulaya aliporudi kageuka kaanza kumtukana Magufuli na siyo kuuzwa kwa Bandari tena kwa na mkataba wa milele, sasa ni Magufuli ndio anaandamwa …

Tundu Lisu evil lkn ipo siku ataingia kwenye 18 za akina rwanda ndio atajua, undumila kuwili huwezi kuwin siku zote ipo siku yake …
Huna hata aibu?
Lissu hana kashfa hata ya sh. 100 mbovu.
 
Back
Top Bottom