Nafikiri amesummurise vya kutosha akizidisha atadistote msg,acha uvivu soma.Story nzuri ila ni ndefu kwa wavizu wa kusoma, kama kuna mtu anaweza summarise tutashukuru
Nafikiri amesummurise vya kutosha akizidisha atadistote msg,acha uvivu soma.Story nzuri ila ni ndefu kwa wavizu wa kusoma, kama kuna mtu anaweza summarise tutashukuru
Kama hujasoma yote utakuwa umekosa uhondo na ufahamu. Nakushauri isome yote mpaka mwisho, usibakishe chochote halafu utaona utamu wakeUngefupisha maelezo yako. Si kila mtu ni mpenzi wa kusoma maelezo mareeeeeefu yasiyokuwa na umuhimu kwake.
Pole wote mnaohathiriwa na swala hili na pole zaidi kwani linalowakuta is just a tip in the icerge. Tanzania ya leo vijana ambao walitakiwa waonyeshe njia maana wamepata elimu wametokea kuwa kituko. Ukweli kwamba all the affected have failed to understand their enemy and rally around one philosohy and encounter the enemy is another but serious problem than being laid off as it appears hata mkishikapunguzwa inaonesha uraiani hamtashirikiana ili kuondeleana ukali wa maisha. Katikati ya matatizo yote haya ni unafiki wa Watanzania. Lakini unafiki mbaya zaidi unapojikita kwenye wasomi na watu wenye upeo. Na hili haliko VTL-NSN peke yake bali kote public sector na private sector. Mtanzania kwanza amekubali kipindi hiki kujirahisisha kwa wageni hasa weupe kuliko maneno. Wengi walioko VTL-NSN walitokea TRITEL iliyokuwa na ubia wa Malaysians na VIP Engineering ya Wazawa na Wahindi. Malaysians as majority share holders walikuwa wanaunda management na walikuwa wanaonyesha dhahiri uporaji wa faida wakipeleka kwao njia mbalimbali-kuleta wafanyakazi waliokuwa hawajui chochote na wenye vyeti vya kuunga, likizo zilizokuwa zikichota hela nyingi pamoja monetary repatriation kwa kigezo cha shareholders fee, kushindwa kulipa kodi kwa mamlaka husika na interconnection. Lakini hawakufanya haya peke yao bali walishirikiana na Watanzania wenzetu ambao walikuwa wanapewa kitu kidogo. Kwa kutumia udhaifu wetu waliunda vikundi vya kuwapelekea habari na majungu kaisi kwamba kila kilichokuwa kikifanyika walikuwa wanajua. Walimnyima local shareholders haki zake na wakamjengea uadui kwa staff kiasi staff wakawa wanamuona local sharehoder kama adui. Wakala mtaji wote bila kuwekekeza (network expansion) kama masharti ya regulator yalivyokuwa yanataka. Siku ilipofika wakatakiwa na mamlaka au wafunge biashara au wafate masharti wakaamua kufunga huku wakiwaacha wafanyakazi hawajui hili wala lile lakini wakati wanafanya hivyo wafanyakazi wakaunda kikosi kazi ili kifatitirie kujua hatima yao. Kila mkakati uliokuwa ukifanywa na wafanyakazi kuna Watanzania wenzetu walikuwa wanapeleka habari na hivyo kuwapa nafasi ya wao kukimbia nchi kwa kutumia chartered flight mpaka Nairobi walipoingia kwenye ndege kubwa asubihi wafanyakazi wanaingia ofisini wao walishafika Kuala Lumpur huku wakitamba kuwa Watatznania hatutumii akili.
Pole kwa yale yanayowakuta lakini yote ni matunda na ubinafsi na unafiki. Haya mambo yakiwa ndani ya mioyo ya watu na huku kuna kigezo kuwa whiteman never does wrong, matokeo yake ndio kama haya. Tunatakiwa kujifunza na makosa na wakuwa wakweli kama kweli tunataka kuendelea na kuiona nchi yetu inaendelea. Penye haki na ukweli tuwe wakweli na tusitafute mchawi
Message delivered.Baadhi ya Watanzania mna wivu sana hasa mnapoona wenzenu wanafanya mambo ya maendeleo.Akijenga nyumba nzuri au akinunua gari la kifahari mnasema kaiibia kampuni.Utajiri au kujenga nyumba nzuri ya kifahari si mpaka uwe umetokea au kukulia kwenye familia kama za kina Makamba nikimnukuu mleta mada hii hapa JF.Fungukeni macho hivyo vitu kama kujenga nyumba nzuri,kununua magari ya kifahari vinafanywa na mtu yoyote na si mpaka vifanywe na watoto ambao ni wa vigogo wa serikalini ni juhudi yako tu binafsi ya kujituma na kuwa na mikakati na malengo ya maisha.Kulikua na haja ya ku_reply maelezo yote hayo? Tumia kichwa kufikiri na si kufugia nywele tu.
Ungefupisha maelezo yako. Si kila mtu ni mpenzi wa kusoma maelezo mareeeeeefu yasiyokuwa na umuhimu kwake.
Swali dogo kwa wadau wa NSN/Vodacom, hapo kwenu nimeambiwa hakuna chama cha wafanyakazi kutokana na kurubuniwa na makaburu hadi mkaamua kujitoa/kukisusia chama hivyo kikafa kutokana na kukosa wanachama.
Kama kingekuwepo haya mambo yasingefika hapo yalipofika kwani wao wangechukua nafasi ya kukaa na management kwenye meza kujadiliana hatma ya wafanyakazi kabla ya kufikiwa kwa uamuzi wowote. Kwakuwa mlikubali wenyewe kukiua chama ambacho kingewatetea sasa mnaona mnavyoburuzwa?
Vodacom wote wazungu na waswahili wanapiga dili
Afriking ilianzishwa na kaburu mkewe akawa aiendesha, sasa inaitwa brand fusion. fikiria kampuni inafanya mambo ya sales na marketing ya Voda lkn kila kitu inalipiwa na Voda, kuanzia magari, wese mpaka pango la hiyo kampuni. Mlioko Voda hebu tupeni news zaidi kuna mtu alinitonya eti huyo dietlof alinunua vichwa 250 vya scania akaanzisha kampuni ya uchukuzi hapa bongo. Procurement na warehouse huko vocha zilivyookuwa zinaibwa na kuuzwa mtaani hata kabla hazijawa activated, wakati ule wa Vodafasta iko juu kuna jamaa walipiga billions pale, wakati ule wa simu ya watu jamaa mmoja mtaalam wa simu ya watu akishirikiana na jamaa wa IT&billing wakatengeneza line kibao wakiziita vimondo wakawapa watu mtaani zikawa hazi bill kwenye ssystems za voda wakawagawia watu na kila wiki wakawa wanakwenda kukusanya kil kwa hao watu, wakawa mpaka na containers zao za kupigisha simu wakatengeneza billions of money, huko property nako khaaa mlango wa kilo tano unatengenezwa kwa million mbili, partitions za ofisi kwenye majengo nazo zimewatoa watu vibaya mnoo watu matajiri bana huko VTL. it&billing nako jamaa kaniambia kuna kampuni iko outsourced pale inafanya kazi na Voda wanalipwa cheki moja matata sna kwa mwezi, mmiliki wake alikuwa na ndoto za kuwa director wa IT&billing, lkn akahama akaenda benki moja ya makaburu pale posta ya zamani. Jamanin wa Voda mfunguke basiii mie nilizozipata huko nashea na nyie. customer care nako duuu ntakuja tena ngoja nile njaa inaniuma