issa ramadhani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 1,319
- 255
- Thread starter
- #21
Neo-slave trade.
Tanzania kiukweli bado tupo kwenye utawala wa kikoloni hakuna ukombozi bado.
na Nyerere alisema hili kama ww ni mwafrika lakini unavitendo vya kikaburu na ww ni kaburu tu.
maana halisi ya utumwa ni biashara ya kuuza na kununua watu.lakini sisi hatuuzi watu.tunawaunganisha wasionacho ili na wenyewe angalau wakagawane na wale mungu aliowabariki kuwa nacho.hata wewe hapo ajira uliyonayo kuna kitu kilikuunganisha eidha gazeti,radio au mtu na ukafanikiwa kupata hiyo.ni watanzania wangapi wanapitia hapa JF kuomba kazi?usiwanyime riziki wale ambao hawajiwezi na utafute njia na wewe uwe daraja la kuwakomboa kama JOYCE KIRIA