Wafanyakazi 15 wa Serikali wafikishwa Mahakamani kwa kuiibia Serikali Tsh. Bilioni 98.9

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
1687835531142.png

Wafanyakazi hao kutoka Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam wakiwemo Wahasibu, Afisa Afya, Mweka Hazina na Afisa Mtendaji wa Mtaa, wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 143.

Kwa mujibu wa Hati ya Mashtaka, Watuhumiwa hao wanadaiwa kutenda makosa hayo ikiwemo Kuongoza Genge la Uhalifu, Matumizi Mabaya ya Madaraka na Kuisababishia Hasara ya Kifedha Serikali ya Halmasahuri ya Jiji.

Mawakili wa upande wa Jamhuri wameileza Mahakama kuwa kati ya Julai Mosi 2019 na Juni 6, 2021 Katika jiji la Dar es Salaam, Watumishi hao waliongoza Genge la Uhalifu na kujipatia Tsh. Bilioni 8.9, Fedha za Halmashauri hiyo. kinyume na Sheria.

============

Wafanyakazi 15 wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam wakiwemo wahasibu, ofisa afya, mweka hazina na ofisa mtendaji wa mtaa, wamefikishwa Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 143 yakiwemo ya kuongoza genge la uhalifu, matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia hasara Halmasahuri ya Jiji la Dar es Salaam kiasi cha Sh8.9 bilioni.

Washtakiwa hao wamesomewa mashtaka yao leo jioni, Juni 26, 2023 na Wakili wa Serikali, Faraji Ngukah akisaidiana na Pendo Temu, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Pamela Mazengo.

Wakili Ngukah amedai washtakiwa kwa pamoja wanadaiwa kati ya Julai Mosi 2019 na Juni 6, 2021 Katika jiji la Dar es Salaam, wakiwa watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, waliongoza genge la uhalifu na kujipatia Sh8.9 bilioni, mali ya Halmashauri ya Jiji.

MWANANCHI
 
View attachment 2670039

Siku hizi magazeti yetu yamekaa kidaku. Nini mantiki ya kuweka picha na kuficha majina?
 
Attachments

  • CDF42655-1DF3-4F65-824D-2A9910553F1E.jpeg
    CDF42655-1DF3-4F65-824D-2A9910553F1E.jpeg
    66.1 KB · Views: 11
Back
Top Bottom