Natafuta chimbo la mitandio ya kiislam kama hiyo hapo chini

35f390807a32e68516aa4c30f9bc168d.jpg
d5e9e025331a3d66dec3349c029bd8a6.jpg
 
Hahahah nitakupa mtu akusindikize maana kwa nature ya job yangu sitoki nje weekdays na weekdays shop nyingi ndo zinakua wazi jmos nusu siku possibilty ya kufanikiwa inakua kidogo na Jumapili ndo kabsaa.
Ubarikiwe mkuu watu kama nyinyi ndio furaha yetu.
 
Back
Top Bottom