Hii ni kwa mtu yoyote anaetegemea kuanza biashara kwa kufunga mzigo Kariakoo

Kariakooking1978

JF-Expert Member
Jul 11, 2023
552
1,060
Hellow members, kama wewe unategemea kuanza biashara na unatarajia kufunga mzigo wa biashara Kariakoo basi hii ni ya kwako.

Ipo hivi hapa nina vitabu viwili nimekuandalia vitakavyokupa muongozo wa kupata machimbo ya bidhaa kwa bei ya jumla nzuri sana ndani ya soko la kariakoo.

Vitabu hivi vimegawanyika katika makundi mawili.Kitabu cha kwanza ni kwa wale wanaopenda kuzunguka sana na kujionea wenyewe kila kitu,kitabu hiki kinakuelekeza aina ya bidhaa na mtaa ambao maduka yake yanapatikana.Kuna baadhi ya mitaa umewekewa na michoro ya ramani kabisa namna ya kufika hapo.

Kitabu cha pili ni kwa wale wanaopenda kufika moja kwa moja duka husika.Hiki kitabu kina namba za machimbo ya bidhaa aina zote.Ni wewe kuchukua namba na kupiga simu tuu.

Kama wewe ni mtu wa online business unaweza kuchukua namba na kuwaomba wakuadd kwenye grouo lao la wasup la taarifa za mzigo mpya ukifika ili uweze kuona picha na bei za jumla za bidhaa.

CHUKUA SIRI HII:Ukiungwa kwenye group la chimbo husika,anza kuwatext members wenzako ukiwaomba wasave namba yako ili uweze kuona bidhaa zao (unaweza kufanya hivi kwa namba nyingine ambayo hujaunganishwa kwenye group),ni muhimu kufanya hivi kwasababu members wengi humu ni wauzaji wa reja reja wa pale pale kariakoo,mawinga na watu wa online business.
Kwahiyo ukiwa unaona post zao unaweza kulinganisha namna wanauza bidhaa hiyo hiyo kwa bei ya reja reja na namna wewe unaweza kujiwekea bei itakayokusaidia kuzungusha mzigo haraka sokoni.
Kufanya hivi ni muhimu sana kama wewe ni mtu wa online business.

Pdf ya kwanza hiyo chini ni kitabu chenye aina ya bidhaa na location ya mtaa husika.Ni kizuri kwa watu wadadisi na wanaopenda kuzunguka chocho kwa chocho
Screenshot_20231118-133943.jpg

Pdf ya pili hii ina namba za simu za chimbo la bidhaa husika.Kuna namba za chimbo za bidhaa aina zote.Kizuri kwa wale wanaopenda kuokoa muda na hawapendi kuzunguka sana.
Screenshot_20231113-123618~3.jpg

Ipo hivi nilitamani nitoe hizi pdf bure kabisa ila ili kuipa thamani kazi niliyoifanya nitakupa kila pdf kwa Tsh 6,000 tu.Kama utachukua pdf zote 2 basi utazipata kwa Tsh 10k tu.

MAWASILIANO: 0745645035

USISAHAU NAENDELEA KUTOA ILE HUDUMA YANGU YA KILA SIKU👇👇

Nanunua, nafunga na kusafirisha bidhaa aina zote kutoka kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na Nchi jirani kila siku kwa haraka na usalama wa hali ya juu.

SIO MBAYA KAMA TUKIENDELEA KUINUANA MAISHA YENYEWE NDO HAYA HAYA,HAINA HAJA YA KUMKANDIA MWENZIO.

TUKUTANE KARIAKOO
 
Hellow members,kama wewe unategemea kuanza biashara na unatarajia kufunga mzigo wa biashara kariakoo basi hii ni ya kwako.

Ipo hivi hapa nina vitabu viwili nimekuandalia vitakavyokupa muongozo wa kupata machimbo ya bidhaa kwa bei ya jumla nzuri sana ndani ya soko la kariakoo.

Vitabu hivi vimegawanyika katika makundi mawili.Kitabu cha kwanza ni kwa wale wanaopenda kuzunguka sana na kujionea wenyewe kila kitu,kitabu hiki kinakuelekeza aina ya bidhaa na mtaa ambao maduka yake yanapatikana.Kuna baadhi ya mitaa umewekewa na michoro ya ramani kabisa namna ya kufika hapo.

Kitabu cha pili ni kwa wale wanaopenda kufika moja kwa moja duka husika.Hiki kitabu kina namba za machimbo ya bidhaa aina zote.Ni wewe kuchukua namba na kupiga simu tuu.

Kama wewe ni mtu wa online business unaweza kuchukua namba na kuwaomba wakuadd kwenye grouo lao la wasup la taarifa za mzigo mpya ukifika ili uweze kuona picha na bei za jumla za bidhaa.

CHUKUA SIRI HII:Ukiungwa kwenye group la chimbo husika,anza kuwatext members wenzako ukiwaomba wasave namba yako ili uweze kuona bidhaa zao (unaweza kufanya hivi kwa namba nyingine ambayo hujaunganishwa kwenye group),ni muhimu kufanya hivi kwasababu members wengi humu ni wauzaji wa reja reja wa pale pale kariakoo,mawinga na watu wa online business.
Kwahiyo ukiwa unaona post zao unaweza kulinganisha namna wanauza bidhaa hiyo hiyo kwa bei ya reja reja na namna wewe unaweza kujiwekea bei itakayokusaidia kuzungusha mzigo haraka sokoni.
Kufanya hivi ni muhimu sana kama wewe ni mtu wa online business.

Pdf ya kwanza hiyo chini ni kitabu chenye aina ya bidhaa na location ya mtaa husika.Ni kizuri kwa watu wadadisi na wanaopenda kuzunguka chocho kwa chochoView attachment 2817678

Pdf ya pili hii ina namba za simu za chimbo la bidhaa husika.Kuna namba za chimbo za bidhaa aina zote.Kizuri kwa wale wanaopenda kuokoa muda na hawapendi kuzunguka sana.
View attachment 2817679

Ipo hivi nilitamani nitoe hizi pdf bure kabisa ila ili kuipa thamani kazi niliyoifanya nitakupa kila pdf kwa Tsh 6,000 tu.Kama utachukua pdf zote 2 basi utazipata kwa Tsh 10k tu.

MAWASILIANO: 0745645035

USISAHAU NAENDELEA KUTOA ILE HUDUMA YANGU YA KILA SIKU👇👇

Nanunua,nafunga na kusafirisha bidhaa aina zote kutoka kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na Nchi jirani kila siku kwa haraka na usalama wa hali ya juu.

SIO MBAYA KAMA TUKIENDELEA KUINUANA MAISHA YENYEWE NDO HAYA HAYA,HAINA HAJA YA KUMKANDIA MWENZIO.

TUKUTANE KARIAKOO
Je mtu akinunua kwako kisha akaja kuweka hapa free?
 
Back
Top Bottom