kilambalambila
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 9,291
- 8,621
DED yuko sawa sanasana
SOMA VIZURI ANDIKO KUANZIA MWANZO, PUGU NI SHULE YA SERIKALI NA INA KANISA NA MSIKITIVipi kuhusu Dini nyingine nazo zikidai zijenge nyumba zao za Ibada kwanye maeneo ya shule ili wanafunzi wafuasi wao wapate ukaribu wa kuabudu miungu yao kila muda inapohitaji kuabudiwa
Kuna Sheria yoyote inayozikataza Dini nyingine kujenga Nyumba za Ibada mashuleni ?
Waacheni watoto wasome.
unaijua historia ya shule Pugu wewe
SIHITAJI KUJUA HISTORIA, KINACHOONGOLEWA NI NYUMBA YA IBADA KUWA KIKWAZO KWENYE MASOMO? JE PUGU WANAFUNZI HAWAFAULU?
Anayetoa habari anataka shule zote wajenge misikiti na makanisa ili kudhibiti utoro!? Haiwezekani na haitawezekana, ninaamini lingejengwa kanisa huyohuyo angelalamika na kutaka livunjwe.Wafadhili wa Waislamu wamejenga msikiti kwenye eneo la shule ya sekondari ya serikali inayoitwa Talawanda iliyopo katika wilaya ya Chalinze.
Mkurugenzi wa wilaya ya chalinze ameuvunja. sababu eneo ni la shule ya serikali.
Mkurugenzi wa Halmashauri aliyeuvunja ni Muislamu pia. nawaza ungevunjwa kwa amri ya mtu wa dini nyingine ingekuaje?
View attachment 2898889
Vilijengwa mwaka gani? Eneo hilo lilikuwa na wenyeji karibu enzi hizo?SOMA VIZURI ANDIKO KUANZIA MWANZO, PUGU NI SHULE YA SERIKALI NA INA KANISA NA MSIKITI
RUDI KWENYE HOJA. JE PUGU WANAFUNZI HAWAFAULU PAMOJA NA UWEPO WA MSIKITI NA KANISA?Vilijengwa mwaka gani? Eneo hilo lilikuwa na wenyeji karibu enzi hizo?
Nunueni viwanja kama watu wa imani nyingine na mjenge nyumba zenu za Ibada.Shule nyingi mpaka vyuoni hutenga maeneo kwa ajili ya wanafunzi wa kiislam na kikristo kufanya ibada zao.
Muislam anatakiwa aswali mara tano kwa siku. Asubuhi,adhuhuri (saa 7 mchana), Alasiri (saa 10 ),maghrib (baada ya jua kuzama) na isha (baada ya usiku kuingia). Sasa hao walimu wasije kuleta tena malalamiko pindi wanafunzi wa kiislam wakitoka nje ya eneo la shule kwenda kutafuta misikiti ya kuswalia.
Wafadhili wa Waislamu wamejenga msikiti kwenye eneo la shule ya sekondari ya serikali inayoitwa Talawanda iliyopo katika wilaya ya Chalinze.
Mkurugenzi wa wilaya ya chalinze ameuvunja. sababu eneo ni la shule ya serikali.
Mkurugenzi wa Halmashauri aliyeuvunja ni Muislamu pia. nawaza ungevunjwa kwa amri ya mtu wa dini nyingine ingekuaje?
View attachment 2898889
Chalinze siku hizi ni Wilaya?Wafadhili wa Waislamu wamejenga msikiti kwenye eneo la shule ya sekondari ya serikali inayoitwa Talawanda iliyopo katika wilaya ya Chalinze.
Mkurugenzi wa wilaya ya chalinze ameuvunja. sababu eneo ni la shule ya serikali.
Mkurugenzi wa Halmashauri aliyeuvunja ni Muislamu pia. nawaza ungevunjwa kwa amri ya mtu wa dini nyingine ingekuaje?
View attachment 2898889
Nae atarushiwa majini?Kuna watu wanajitafutia laana kilazima Mkurugenzi ana udini sana.
Ila atakipata anachokitafuta hapa duniani na huko akhera
Wewe kwanza hujui tofauti ya "subiri" na "subili" sina imani kwamba umefikia viwango vya kujadiliana na mimi.Serikali inayo dini ukitaka kuamini subili siku ya j mosi na j pili kisha uje hapa uniambie kwanini serikali hizo siku 2 aifanyi kazi?
Serikali haina udini,kujengwa msikiti maeneo hayo itapunguza eneo la ujenzi wa facility zengine za kishule. Na hapo utakuta na dini nyingine wangetakq eneo na dhehebu jingine wangetakq eneo.Ww ni fala tuu kama fala wengine, kwahy kwa kuwa ni msikiti ndo usivunjwe? Ht ingekuwa ni kanisa ni sawa kuvunjwa tu. Au mlitaka muweke ofisi zenu za mafala ndio zisivunjwe?
Serikali haina udini sio dini.Mkulugenzi ni sehemu ya serikali hana dini sababu serikali haina dini kwani ujui?
Hata atuongelei alie bomoa .mkulugenzi ni muajiriwa wa serikali sio dini vipi usema alie bomoa ni muisilamu mwenzao?ni kweli kabisa kutakua na chuki maana hata aliebomoa ni muislamu mwenzao
Kumbe sheri zote ni mali ya serikaliNdio maana yule Mholanzi kawapiga stop,jamaa hamnazo kabisa kichwani hadi unashangaa.Suala la imani unalilazimishaje?mbinu nyingine ni ya kila penye sheli ujengwe msikiti.
Umeshasema imani nyingine vp uifanannishe na uislamNunueni viwanja kama watu wa imani nyingine na mjenge nyumba zenu za Ibada.
Wekeni ratiba za ibada zisizo ingiliana na ratiba za shule kama wafanyavyo watu wa imani zingine.
Umeshasema imani nyingine vp uifanannishe na uislam
Kwenye mali za umma hakuna haki ya kujipa kipaumbele regardless ya utofauti wa dini, njia pekee ni kuchangishana pesa na kununua kiwanja chenu binafsi na kujenga shule zenu binafsi zenye misikiti kwenye kila darasa na kila ofisi ya mwalimu na ratiba mjipangie wenyewe, hata ikibidi iwe ni kuswali kutwa nzima..Umeshasema imani nyingine vp uifanannishe na uislam
Kwahiyo unataka iwe holela, nijuavyo shule hazikatazi kutumia madarasa kwa sala, tatizo wewe uliishia madrasa.RUDI KWENYE HOJA. JE PUGU WANAFUNZI HAWAFAULU PAMOJA NA UWEPO WA MSIKITI NA KANISA?