Wafadhili wamejenga Msikiti kwenye Eneo la shule ya sekondari inayomilikwa na serikali. Mkurugenzi wa Halmashauri ameuvunja

Vipi kuhusu Dini nyingine nazo zikidai zijenge nyumba zao za Ibada kwanye maeneo ya shule ili wanafunzi wafuasi wao wapate ukaribu wa kuabudu miungu yao kila muda inapohitaji kuabudiwa

Kuna Sheria yoyote inayozikataza Dini nyingine kujenga Nyumba za Ibada mashuleni ?
Waacheni watoto wasome.
SOMA VIZURI ANDIKO KUANZIA MWANZO, PUGU NI SHULE YA SERIKALI NA INA KANISA NA MSIKITI
 
Wafadhili wa Waislamu wamejenga msikiti kwenye eneo la shule ya sekondari ya serikali inayoitwa Talawanda iliyopo katika wilaya ya Chalinze.

Mkurugenzi wa wilaya ya chalinze ameuvunja. sababu eneo ni la shule ya serikali.

Mkurugenzi wa Halmashauri aliyeuvunja ni Muislamu pia. nawaza ungevunjwa kwa amri ya mtu wa dini nyingine ingekuaje?

View attachment 2898889
Anayetoa habari anataka shule zote wajenge misikiti na makanisa ili kudhibiti utoro!? Haiwezekani na haitawezekana, ninaamini lingejengwa kanisa huyohuyo angelalamika na kutaka livunjwe.
 
Umevunjwa kisheria kama umejengwa kimakosa ulijaribu kuwaza nini? Hata kama mkurugenzi angekuwa mkiristo as well as amefata sheria kuna ubaya gani
 
Shule nyingi mpaka vyuoni hutenga maeneo kwa ajili ya wanafunzi wa kiislam na kikristo kufanya ibada zao.

Muislam anatakiwa aswali mara tano kwa siku. Asubuhi,adhuhuri (saa 7 mchana), Alasiri (saa 10 ),maghrib (baada ya jua kuzama) na isha (baada ya usiku kuingia). Sasa hao walimu wasije kuleta tena malalamiko pindi wanafunzi wa kiislam wakitoka nje ya eneo la shule kwenda kutafuta misikiti ya kuswalia.
Nunueni viwanja kama watu wa imani nyingine na mjenge nyumba zenu za Ibada.

Wekeni ratiba za ibada zisizo ingiliana na ratiba za shule kama wafanyavyo watu wa imani zingine.
 
Wafadhili wa Waislamu wamejenga msikiti kwenye eneo la shule ya sekondari ya serikali inayoitwa Talawanda iliyopo katika wilaya ya Chalinze.

Mkurugenzi wa wilaya ya chalinze ameuvunja. sababu eneo ni la shule ya serikali.

Mkurugenzi wa Halmashauri aliyeuvunja ni Muislamu pia. nawaza ungevunjwa kwa amri ya mtu wa dini nyingine ingekuaje?

View attachment 2898889

Ina maana kwa sababu ni nyumba ya ibada wafanye zuluma? Maana hiyo ni zuluma
 
Wafadhili wa Waislamu wamejenga msikiti kwenye eneo la shule ya sekondari ya serikali inayoitwa Talawanda iliyopo katika wilaya ya Chalinze.

Mkurugenzi wa wilaya ya chalinze ameuvunja. sababu eneo ni la shule ya serikali.

Mkurugenzi wa Halmashauri aliyeuvunja ni Muislamu pia. nawaza ungevunjwa kwa amri ya mtu wa dini nyingine ingekuaje?

View attachment 2898889
Chalinze siku hizi ni Wilaya?
Duh
 
Serikali inayo dini ukitaka kuamini subili siku ya j mosi na j pili kisha uje hapa uniambie kwanini serikali hizo siku 2 aifanyi kazi?
Wewe kwanza hujui tofauti ya "subiri" na "subili" sina imani kwamba umefikia viwango vya kujadiliana na mimi.
 
Ww ni fala tuu kama fala wengine, kwahy kwa kuwa ni msikiti ndo usivunjwe? Ht ingekuwa ni kanisa ni sawa kuvunjwa tu. Au mlitaka muweke ofisi zenu za mafala ndio zisivunjwe?
Serikali haina udini,kujengwa msikiti maeneo hayo itapunguza eneo la ujenzi wa facility zengine za kishule. Na hapo utakuta na dini nyingine wangetakq eneo na dhehebu jingine wangetakq eneo.
Amefanya vizuri kuvunja.
 
Ndio maana yule Mholanzi kawapiga stop,jamaa hamnazo kabisa kichwani hadi unashangaa.Suala la imani unalilazimishaje?mbinu nyingine ni ya kila penye sheli ujengwe msikiti.
Kumbe sheri zote ni mali ya serikali
 
Umeshasema imani nyingine vp uifanannishe na uislam
Umeshasema imani nyingine vp uifanannishe na uislam
Kwenye mali za umma hakuna haki ya kujipa kipaumbele regardless ya utofauti wa dini, njia pekee ni kuchangishana pesa na kununua kiwanja chenu binafsi na kujenga shule zenu binafsi zenye misikiti kwenye kila darasa na kila ofisi ya mwalimu na ratiba mjipangie wenyewe, hata ikibidi iwe ni kuswali kutwa nzima..
 
Back
Top Bottom