linaukweli sana manake madeu wa huku uswahilini wanaume wetu hawana mishahara mikubwa ya kufikia tarehe 30 na wakipata hela wanahonga wa njee bora kila siku apate buku tano ila sio 150,000 kwa mweziUnauhakika mkuu, mimi sidhani kama hili linaukweli..
Kwa nini mademu wa uswazi wanapenda wanaume wa kipato cha kila siku na sio wale wa mshahara? Naomba kuwasilisha hoja