Wademu wa uswazi hawapendi wanaume wa mshahara

kansije

Member
Sep 16, 2010
50
10
Kwa nini mademu wa uswazi wanapenda wanaume wa kipato cha kila siku na sio wale wa mshahara? Naomba kuwasilisha hoja
 
Unauhakika mkuu, mimi sidhani kama hili linaukweli..
linaukweli sana manake madeu wa huku uswahilini wanaume wetu hawana mishahara mikubwa ya kufikia tarehe 30 na wakipata hela wanahonga wa njee bora kila siku apate buku tano ila sio 150,000 kwa mwezi
 
mi nadhani mademu wote, wauswazi na wakishua wanapenda mtu mwenye constant flow of money, Nakubali kwa hiyo mishahara hawawezi kuwapenda sababu watakuwa watu wa sound kila siku mpaka mwisho wa mwezi saluni wataendaje
 
marytina huku kwetu watu wenye uhakika wa buku tano kila wachache sana, siku za kwanza utapata buku tano zinazofuata buku mbili au tatu
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom