LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,348
- 3,219
Baada ya michuano ya nchi za Ulaya (Euro) kwisha na Spain kuibuka mabingwa tena, Nimeona kama huyu mshambuliaji wao matata enzi yake akisukuma kandanda ktk Club ya L'poolFC Fernando Torres ameibuka mfungaji bora na ingali ana mabao matatu kama wenzake watano ambao hawajapata chochote ingali wote wako sawa kwa ufungaji wa mabao sawa tatu tatu.
Je? Mwenye kujua vigezo vilivyomfanya achukue kiatu cha ufungaji bora anifafanulie wajamen!
Pamoja Daima!
Je? Mwenye kujua vigezo vilivyomfanya achukue kiatu cha ufungaji bora anifafanulie wajamen!
Pamoja Daima!