Wadau wa soccer! Kwa anayejua hebu anifafanulie hili kuhusu F. Torres!

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,216
Baada ya michuano ya nchi za Ulaya (Euro) kwisha na Spain kuibuka mabingwa tena, Nimeona kama huyu mshambuliaji wao matata enzi yake akisukuma kandanda ktk Club ya L'poolFC Fernando Torres ameibuka mfungaji bora na ingali ana mabao matatu kama wenzake watano ambao hawajapata chochote ingali wote wako sawa kwa ufungaji wa mabao sawa tatu tatu.

Je? Mwenye kujua vigezo vilivyomfanya achukue kiatu cha ufungaji bora anifafanulie wajamen!

Pamoja Daima!
 
Nadhan wameangalia mchezaji aliyecheza dakika chache zaidi lakini akafunga magoli mengi...i.e. uwiano wa dakika alizocheza na madao aliyopachika. Huo ndio uelewa wangu, nadhan utaratibu huo umewahi kutumika huko nyuma pia
 
Nashukuru kibavu.

Bila shaka inaweza ikawa sababu,ila hatumalizi wenyewe ngoja wadau labda wana la nyongeza!
 
Fernando Torres has collected the Euro 2012 Golden Boot, scoring three goals during Spain's title-winning campaign.

In a dramatic turn of events the 28-year-old ensured it would be who won the accolade with a superb 15-minute cameo in the 4-0 final win over Italy to put another torrid season behind him. Despite being level with Mario Gomez on three goals and one assist, he takes home the prize having played fewer minutes than his German counterpart

source: goal.com
 
Mkuu hii ndio sababu kuu Despite being level with Mario Gomez on three goals and one assist, he takes home the prize having played fewer minutes than his German counterpart
 
Nadhan wameangalia mchezaji aliyecheza dakika chache zaidi lakini akafunga magoli mengi...i.e. uwiano wa dakika alizocheza na madao aliyopachika. Huo ndio uelewa wangu, nadhan utaratibu huo umewahi kutumika huko nyuma pia

hata mimi ninavyofahamu ni kama ulivyoelezea mkuu,naungana na wewe
 
ngoja wachambuzi uchwara wa soka wabongo kina shafi dauda na kumwembe waipate hii then waje watuletee hadithi,namkubaligi dk leakey abdallah tu
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom