mtumishi askofu
Member
- Sep 8, 2021
- 29
- 35
Kama mada inavyojieleza hapo juu ninajishughurisha na kilimo changamoto ni hiyo mashine ya kupandia mwenye nayo anione inbox tuelewane. asanteni
Mahindi na AlizetKwanza unataka kupanda nini viazi mahindi mtama karanga or what?
Kwa sasa mambo yamebanaNunua tu