petro faustine
Member
- Oct 2, 2014
- 74
- 6
taarifa za habari ..mitandao . redio...magazeti yana post matatzo ya vyuo hivi lakini stil mtu ana apply duuh mna roho ngumu
Mimi nakushauri upige simu TCU kama ni Diploma piga Nacte ila uwaulize mwenyewe. Ila ukwli nikwamba ilipotokea migogoro tatizo kubwa lilikua ni usajiri board ya Afya ila waziri wa Elimu na wa Afya wote walikuja wakaongea na wanafunzi kwamba chuo kimesajaliwa, ila wanafunzi wengine walikua wanataka kuhama kwhiyo wakaendelea na kugoma baada ya hapo uongozi uliamua kufunga chuo upande wa Afya kwa week mbili na hapo ilikua kama wanafunzi wote wa Afya wamefukuzwa chuo ila ukitaka kurudi u download form yakuomba kurudishwa pia uahidi kwamba huta goma tena ukigoma tena sheria itachukua mkondo wake, wanafunzi wengi walijaza hiyo form wakarudi ndio hawajagoma tena. Ukwli nikwamba chuo kinatambulika na TCU na Nacte pia tatizo lilikua kwenye board ya pharmacy ndio ilikua inachelewesha usajiri. Kwa masomo ya Afya ada ni kubwa pale kwhiyo wanafunzi wengine walikua wanatami kuhamia vyuo vyenye ada nafuu ndio maana walikua wanaendeleza migomo kwsababu watu wa TCU, Nacte, Wizara ya Afya na Elimu walikuja kuongea nao kwamba hakuna tatizo lolote waendelee kusoma ila wao walikua wanasema wanataka wapelekwe vyuo vingine.
Ndio kama unaomba kupitia Nacte na TCU nikwamba kimesajiliwa tatizo lilikua board ya pharmacy tu, mwanzoni pia kulikua na course ya MPP ambayo walikua wanasoma semester nzima ambayo ni pre-medicene walikua wanasoma masomo ya Biology, Chemistry, physics na Maths ndio waligoma pia ndio uongozi ukapunguza mda badala yakusoma semester nzima unasoma nusuu semester kwsababu ukisoma hiyo course wanafunzi walikua wanamaliza miaka 5 na nusuu badala ya miaka 5.
Hilo swali upige semu kwenye hayo mabaraza husika, ila swali ninalotaka kuuliza ni hivi KIU mwaka huu ndio mwaka huu watapata wanafunzi wa diploma kupitia Nacte kwsababu mwaka jana walikua wanaomba mojamoja kwa moja, hayo matatizo kama bado yapo Nacte wengeweka chuo kuomba kupitia wao zaidi baada ya migogoro yote ambayo ilifika hadi bungeni? Mimi nasema kuliko kusikiliza habari mitaani ni vizuri kupiga simu Nacte au board husika utapata jibu.
Wadau iv kweli hicho chuo cha kampala kinauwezo wa kuchukua CO 784?
watu walikuwa mwaka pili walitakiwa waende kuingia mwaka WA tatu wameamua waache chuo wakaombe diplom hamna MTU anaekukataza kwenda nenda ukajionee mwenyewe .but hakikisha cz unayoenda kusoma Kiu i natambulika na bord husika in short chuo kipo tz but mitaala in ya kiganda japo TCU waliapprove.nenda kasome si unataka Afya ennnnh utaipata
By:
muzdalifa.
kuweni makini nawaasa maana ada no za kwenu ila kiukweli naumia sana mengine hatuwez kuandika humu ila tuwe makini cz naongea nimeshuhudia watu wanavyohangaika had I sasa sababu ya hiko chuo .Google upate detail za chuo ndo upige simu huko
Nashkuru mkuu kwa ushaur wako nitaufanyia kaz mapema nijue moja.#
Godbless you
Hujui chochote pia juu ya MPP???!!! MPP utasoma hadi English, nk na sio nusu semester tuliisoma semester nzima na kuilipia ada kama tumeeanza Medicine. Mbaya zaidi utafundishwa mengi ya O level... Ingawa baada ya sisi kugoma mtakaoenda mwaka huu mtapata ahueni!!!
vipi kuhusu kozi nyingine.......tusaidieni
duuh! mm nme apply hapo cozi ya clinical medicn(CO).sasa yanayo zngumzwa humu yananivnja moyo maana hamna mweny uhakika na usajl wa hikitu.nimebak njia panda msaada wenu plz km yupo anaepga hiz cozi hapo atusaidie ndugu.
nasoma kiu health science( co) ee bwana kiu bado hapana uhakika 100% ila mawaziri walituambia tutatambulka kwa hyo tunaishi kwa imani tu kuwa watatutambua unajua kiu hakuna mwanafunzi aliyeajiriwa serikali kwa kozi za afya mwez nov. ndio kuna jamaa wanamalza tuone km wataajiriwa
vipi kuhusu kozi nyingine ukiachilia mbali afya
vipi kuhusu kozi nyingine....sheria ....biashara?????? ubovu uko pote
Mkuu funguka tuu kama kimsajiliwa au hakijasaliwa katika mabaraza husika
jaman mna mioyo migumu sanaaaa kuelewaaaa eti eheeee chuo kimetangazwaaa sanaa hicho kibovu mabaraza yote yamegoma kusajil mpaka sasa nyie mnajidai mnakijua kiu kuliko sis ambao tumesoma pale tukaacha wakati hata majengo huyajuiii hayaaaa ww bishaaa nenda bana tutaona utasajiriwaa na nan hapa tanzania au utafanya kaz wap kwa ufupi unaapply vp chuo hujauliza kikovp tena kama kiu ambao takriban mwaka mzima vyombo vya habar vimetangaza kuhusu hicho chuo na kesi iko mahakaman ya hicho chuo kuhusu kutapeli wanafunziiii duuuuuuh watanzania kwel hiii ni BRN