Wadau tusaidiane

spike

Senior Member
Jan 8, 2011
112
15
Nina shida na kazi ya kujitolea kwenye kitengo cha audit au accounts, mi nimchapa kazi mzuri,najituma sana. Tusaidiane nije kusaidia kazi nami nipate ujuzi.nipo Dar
 
Hapa mdau ungespecify kama unahitaji kujitolea kwa malipo au bure
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom