Nina cheti, Diploma na Degree ya maendeleo ya Jamii na sina kazi nipo tu mtaani

Superleta

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
466
538
Maisha haya daaaah nina certificate ya Maendeleo ya Jamii, nina Diploma ya Maendeleo ya Jamii, na nina Degree ya Maendeleo ya Jamii na nipo mtaani tu sina kazi najipambania tu na vijimishemishe sikai nyumban najitegemea ila masimango nayoyapata kwenye simu na ndugu yananiuma sana.

Naonekana nilisoma tu hamna kitu nimeleta kila siku naulizwa kuwa nitapata kazi lini au kwani nilisomea nini mbona siajiriwi nabaki kusononeka tu

Hivi ndugu zangu wapi nitapata hata pa kujivolunter kwenye shirika lolote hapa Dar?Nipo tayari kujitolea kwenye shirika lolote tu walau na mimi nipate uzoefu tu na msongo wa mawazo upungue
 
kujitolea kwa dunia hiii ya sasa ivii ilivyoo atoboi ndugu yangu wewe tafuta kazi yoyote ambayo kipato chake si chini ya elfu 10 amabako ukiwa kazi apo uendelee kutafuta kazi serikalini sasa ivii kuna nauli unaweza kuta unakaa mbagala umejitolea kazi tegeta kibo nauli utapataje na unajitolea ili swala la ajira ni gumu sana ata mimi nina degree ilaa napiga viibarua tu
 
Maisha haya daaaah nina certificate ya Maendeleo ya Jamii, nina Diploma ya Maendeleo ya Jamii, na nina Degree ya Maendeleo ya Jamii na nipo mtaani tu sina kazi najipambania tu na vijimishemishe sikai nyumban najitegemea ila masimango nayoyapata kwenye simu na ndugu yananiuma sana.

Naonekana nilisoma tu hamna kitu nimeleta kila siku naulizwa kuwa nitapata kazi lini au kwani nilisomea nini mbona siajiriwi nabaki kusononeka tu

Hivi ndugu zangu wapi nitapata hata pa kujivolunter kwenye shirika lolote hapa Dar?Nipo tayari kujitolea kwenye shirika lolote tu walau na mimi nipate uzoefu tu na msongo wa mawazo upungue
We all sufffer from this system. sadly, our relatives challenging us intact
 
Maisha haya daaaah nina certificate ya Maendeleo ya Jamii, nina Diploma ya Maendeleo ya Jamii, na nina Degree ya Maendeleo ya Jamii na nipo mtaani tu sina kazi najipambania tu na vijimishemishe sikai nyumban najitegemea ila masimango nayoyapata kwenye simu na ndugu yananiuma sana.

Naonekana nilisoma tu hamna kitu nimeleta kila siku naulizwa kuwa nitapata kazi lini au kwani nilisomea nini mbona siajiriwi nabaki kusononeka tu

Hivi ndugu zangu wapi nitapata hata pa kujivolunter kwenye shirika lolote hapa Dar?Nipo tayari kujitolea kwenye shirika lolote tu walau na mimi nipate uzoefu tu na msongo wa mawazo upungue
Pole sana but we are all cooked in the same pot!
 
Nilitaka kuandikoa hii kitu ila umebisaidia..
Kwa yeye mwenye degree, dp na chet anawez akafikiriwa chap

Tena aanze na cheti ama dp maana mashirika mengi wanataka watu wa elimu hizo kuepuka gharama mzee

Aende taesa chap afanye training na interview chap
 
mAMBO MENGINE UNAJITAKIA TU MWENYEWE SASA HAO NDUGU WANAKUPAJE MASIMANGO UNAWAPIGIA SIMU AU LAAAH ,,,KAMA WANAKUPIGIA KWANN UPOKEEE?
NA KWANN UNARUHUSU NDUGU WAKUZOEE MPAKA WANAFIKIA KIWANGO CHA KUKUPA MASIMANGO???
 
Maisha haya daaaah nina certificate ya Maendeleo ya Jamii, nina Diploma ya Maendeleo ya Jamii, na nina Degree ya Maendeleo ya Jamii na nipo mtaani tu sina kazi najipambania tu na vijimishemishe sikai nyumban najitegemea ila masimango nayoyapata kwenye simu na ndugu yananiuma sana.

Naonekana nilisoma tu hamna kitu nimeleta kila siku naulizwa kuwa nitapata kazi lini au kwani nilisomea nini mbona siajiriwi nabaki kusononeka tu

Hivi ndugu zangu wapi nitapata hata pa kujivolunter kwenye shirika lolote hapa Dar?Nipo tayari kujitolea kwenye shirika lolote tu walau na mimi nipate uzoefu tu na msongo wa mawazo upungue
Wewe ni jinsia gani ni ke au me😋😋
 
Back
Top Bottom