wadau naomba mnisaidie kwenye hili... it is serious

driller

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
1,116
240
jamani kwanza ninawatakia valentine njema wale woote ambao mapenzi yao hayana matatizo wala migogoro..
pili ninaomba msaada kwa hili jamani.. i hav a girl who used to love me so much.. na siku hizi ameanza kua na vitabia ambavyo kwa kweli sivielewi elewi.. hivi jamani utajuaje kua mpenzi wako wa kike ameanza kuku-cheat..? yani ni dalili gani ambazo utaziona ili ujue kwamba sasa hivi nina-share holder kwenye mapenzi yangu ambae ni mwanaume mwenzangu..?

nimeleta hili kwasababu sio uongo mimi ninampenda sana tena kutoka moyoni ila yeye naona kama ananidanganya..! naomba mnisaidie wadau hivi unagunduaje kua mpenzi wako anaanza kukudanganya na watu wengine.....

happy valentine...!
 
kama kaanza kuleta vitabia vya ajabu mwambie na kama atakuleta mambo hayo hayo mkuu STUKA mbaya kama una taka maelezo kwa kina kina kasoma thread ya stuka aliianzisha AshaDii
 
Kwanza pole sana, pili inabidi uzoeee na ujue upo ukweli ambao watu wote huwa hawapendi kuusikia lakini utadumu kuwa ukweli. Binadamu ni mnyma mstaarbu, neno mstaarabu halimuondolei yeye sifa ya kuwa mnyama. Tatu, ukitaka kuishi vizuri usipende sana - kwa kizazi cha hawa huwezi kuwa na mpenzi wako peke yako kamwe ninakwambia. Nnne, kuna tricks za kupunguza waume wenza lakini zingatia kuwa hizo tricks hazifanani kwa kila mtu unaweza ukazitumia kwa huyu zika work kwa yule zikagoma. Mwisho, ishi na mwenzi wako kwa akili ........ period.
 
Amekudanganya kwa lipi?ungejaribu kutupa ufafanuz kidogo.Maana hatuelew amekudanganya nini..

Au hajakupa kadi ya valentine,au kasms kazuri,au redrose..aahhh!
 
ID yako kwanza nimeipenda na inaniashiria kitu flani...
pili, ukisoma alichoandika bro mess, hakuna ziada
huwezi kua na wakwako mwenyewe...ukijua hivyo hawa viumbe wala hawakupi shida!
ila ww mwenyewe vip?uko fresh kwa maana ya kwamba haudanganyi mzeiya?
 
for sure mzee mimi ni mkweli kabisa sidanganyi..! niko faithfull kwake tu..! yani huo ni ukweli ninakupa mzee..! sikuuzii chai kwenye hili..! yani demu anaanza kubadilika na mimi simuelewi asee... so dah nikae nikijua ninashare..?
 
Kwanza pole sana, pili inabidi uzoeee na ujue upo ukweli ambao watu wote huwa hawapendi kuusikia lakini utadumu kuwa ukweli. Binadamu ni mnyma mstaarbu, neno mstaarabu halimuondolei yeye sifa ya kuwa mnyama. Tatu, ukitaka kuishi vizuri usipende sana - kwa kizazi cha hawa huwezi kuwa na mpenzi wako peke yako kamwe ninakwambia. Nnne, kuna tricks za kupunguza waume wenza lakini zingatia kuwa hizo tricks hazifanani kwa kila mtu unaweza ukazitumia kwa huyu zika work kwa yule zikagoma. Mwisho, ishi na mwenzi wako kwa akili ........ period.

so nijue kua nina mwenzangu eeeh..! hivi haiwezekani kabisaa..? asee so nijue hivyo'...! dah bora daaaaah
 
jamani kwanza ninawatakia valentine njema wale woote ambao mapenzi yao hayana matatizo wala migogoro..
pili ninaomba msaada kwa hili jamani.. i hav a girl who used to love me so much.. na siku hizi ameanza kua na vitabia ambavyo kwa kweli sivielewi elewi.. hivi jamani utajuaje kua mpenzi wako wa kike ameanza kuku-cheat..? yani ni dalili gani ambazo utaziona ili ujue kwamba sasa hivi nina-share holder kwenye mapenzi yangu ambae ni mwanaume mwenzangu..?

nimeleta hili kwasababu sio uongo mimi ninampenda sana tena kutoka moyoni ila yeye naona kama ananidanganya..! naomba mnisaidie wadau hivi unagunduaje kua mpenzi wako anaanza kukudanganya na watu wengine.....

happy valentine...!

Akiwa ni mwanamke mwenzake jee??? hutojali??:juggle::juggle::juggle:
 
Back
Top Bottom