Wadau na ombeni mawazo yenu kuhusiana na B.COM international business

Ni noma hiyo kitu ukichukua hiyo piga na tally piga na ma accounting course mbili tatu you are someone else
Ajira Ernst and Young hii hapa...
 
Accounting package inatumika kurekodi data za accounts na kuandaa report kwa kampuni ndogo ndogo
 
Back
Top Bottom