Wadau, je udsm wameshaita interview ya kazi walizotangaza januari??????

Bunguabongo

Member
Jan 12, 2011
27
22
Wapendwa naomba mwenye taarifa kuhusu interview kwa kazi zilizotangazwa pale UDSM mwezi Januari. Je wameshaita watu kwa ajili ya usaili? maana na mimi nilirusha ndoano yangu lakini mpaka sasa naona bilabila. Ahsante.
 
Bado kamanda, uwe mpole sana huwa inachukua siku nyingi sana hadi kuitwa kwa interview na hasa kama waombaji ni wengi kama ilivyo kwa zile nafasi za Udsm.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom