Wadau hizi picha niangalie kwa program gani!

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Wadau picha nyingi nikipiga kutumia camera ya laptop zinatoka ndogo sana je kuna program yoyote yakutumia ili ziwe na saiz ya kawaida?
 
maelezo hayajitoshelezi. Zinakuwa ndogo kivipi? Umetumia program gani? OS?
Kumbuka hatupo ktk machine yako!
 
maelezo hayajitoshelezi. Zinakuwa ndogo kivipi? Umetumia program gani? OS?
Kumbuka hatupo ktk machine yako!

ok ni kwamba nikiwa naziangalia zinakuwa ndogo(smaller in size) kana kwamba katka screen zinakuwa katikat kabisa na hata hazionekan vizur ndio nauliza ntafanyaje ili hz image ziwe na saiz ya kawaida ambayo zitaonekana vizuri na sio viimage vidogo?
 
program gani watumia. Option ya ku zoom. Mara nyingi inapatikana view->zoom au ctrl na alama ya + au -
 
Wadau picha nyingi nikipiga kutumia camera ya laptop zinatoka ndogo sana je kuna program yoyote yakutumia ili ziwe na saiz ya kawaida?

Hiyo camera ni ndogo.
Kwenye Camera kuna kitu kinaitwa Resolution
Hiyo ya laptop ni 1.3 Megapixel
inafaa tu kwa mawasiliano ya Internet.
Hata kwenye simu zenye Camera ni simu za bei rahisi sana ndio wanatumia camera hizo!

Zipo program nyingi za kuedit picha zinazoweza kukuza picha hiyo, lakini zitakusaidia tu kuona vizuri jinsi picha zenyewe zilivyo za kiwango cha chini
 
Back
Top Bottom