Wadada wa MMU naomba mnijibu haka kaswali kangu!!

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Ivi huwa mnapenda wanaume wenye sauti zipi?swali la nyongez,eti ni kweli huwa hampendi wakaka ambao hawana sauti yenye besi?
 
Napenda wanaume wenye sauti kama . . . . , . . . . , . . . . . na . . . . . !!

Ungekua unawajua ningekutajia ili usikie mwenyewe zinavyolipa.
 
Napenda wanaume wenye sauti kama . . . . , . . . . , . . . . . na . . . . . !!

Ungekua unawajua ningekutajia ili usikie mwenyewe zinavyolipa.

wataje 2 lizzy,nami nataka nijijue niko kundi gan.
 
wataje 2 lizzy,nami nataka nijijue niko kundi gan.

Sasa nikiwataja itasaidia nini na huwezi kuwasikia?

Ngoja nifikirie mtangazaji mwenye sauti nzuri. . .
Ohhh nadhani yule jamaa anaitwa Reuben Ndege, japo sijamsikia siku nyingi jaribu kumsikiliza utajua.

Sauti inayoelekea kufanana na yangu kwa mwanaume HAPANA aisee. . .bass muhimu.
 
kwanini usingeweka ule wimbo wangu wa cheusi mangala niliokuimbia kule PM kama mfano au sauti yangu haukuipenda?

Gozo mambo ya Pm usiyalete hapa basi.. ntaacha kukujibu
Pm zako teh teh teh teh teh teh lol...

kipande nyingine .. sauti yako mmhh tuiache tu kule kule chumbani..
maana dahhhh watu watazimia eti wakisikia hahahahha lol

Hujambo lakini ??
 
Sasa nikiwataja itasaidia nini na huwezi kuwasikia?

Ngoja nifikirie mtangazaji mwenye sauti nzuri. . .
Ohhh nadhani yule jamaa anaitwa Reuben Ndege, japo sijamsikia siku nyingi jaribu kumsikiliza utajua.

Sauti inayoelekea kufanana na yangu kwa mwanaume HAPANA aisee. . .bass muhimu.

kwa hyo ce wenye saut ka za akna Jk inakuaje?
 
Gozo mambo ya Pm usiyalete hapa basi.. ntaacha kukujibu
Pm zako teh teh teh teh teh teh lol...

kipande nyingine .. sauti yako mmhh tuiache tu kule kule chumbani..
maana dahhhh watu watazimia eti wakisikia hahahahha lol

Hujambo lakini ??

ukiacha kujibu na mimi nagoma kutuma..kudadeki

mi sijambo hofu kwako mama maua..lol
 
ukiacha kutuma utakuwa umenipunguzia maumivu ya nani liii...
Gozo na we unaniita mama maua..duhhh

nani liii....mhmhmh...

tena maua yaliyo chanua kama tabasamu la wabunge baada ya ongezeko la posho..
 
ukiacha kutuma utakuwa umenipunguzia maumivu ya nani liii...
Gozo na we unaniita mama maua..duhhh
Nyie mambo yenu pelekeni huko PM. . . hatuhitaji kujua kua wewe na Zogo mnapendana sijui mnatongozana.

Ohhh alafu kuna mtu kaniambia nikutakie weekend njema. . . kwa taarifa zaidi nione baadae.
 
Back
Top Bottom