Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,714
- 24,892
Yaani mtu ni mzee amekosa wakukumbushia mabifu yenu sasa mnakuja kunitafuta, niacheni. Nimechoka na kama mtu anadai nawazibiia rizikii sijaja kuwafuata madanga yenu.
Msinichoshe si jf tu ndio mnaihangaikia. Mnahangaika na mimi tu. Sibadili ID na nitabakia na ID yangu na mtakereka sana na ID mtabadili mpaka mwisho wa dunia kwa upande wenu.