Wadada wa Dar mpo vizuri katika updates za hali ya hewa

heartbeats

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
5,769
8,718
Wakuu, yani wadada kusikia utabiri wa hali ya hewa kwamba maeneo ya pwani kutakuwa na upepo mkali wa wastani na mawimbi ya bahari kufikia hadi mita 2 ,

Basi wameamua kuvaa nguo fupi alafu nyepesi kwa makusudi alafu unakuta ndani vichupi tu no skin tight, ni mimi tu sijui nawaona huku mjini alafu et anahangaika kuizuia isipepee

Msitufanye kuongeza michepuko kilazima msimu wa kipupwe mvae vitenge virefu kama vya wasabato

Maana hata madera huwa yananasa kwa hapa mbele kama upepo unakuja kwa mbele
 
Back
Top Bottom