jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,758
- 16,375
Yaan nimewaza tu akili zenu zinavyoleta majibu ya faster nikaduwaahatuyatoi mbali ata yanaletwa na tunao kutananao
Yaan nimewaza tu akili zenu zinavyoleta majibu ya faster nikaduwaahatuyatoi mbali ata yanaletwa na tunao kutananao
we arent dumb! we think fast, mleta mada kawa mkweli, watu wengine ni too much. ila kuna watu wamesema wao ndio hu enjoy mtu akiwa na ufundi wa kupitiliza, mimi hapana nakuwa uncomfortable kwa kweliYaan nimewaza tu akili zenu zinavyoleta majibu ya faster nikaduwaa
Yaan beta uwe tu free kama ulivyo= talking the side (kwa mwanamke)ili km kuna anaependa gogo na wewe ni gogo atakuchukua and virsa versawe arent dumb! we think fast, mleta mada kawa mkweli, watu wengine ni too much. ila kuna watu wamesema wao ndio hu enjoy mtu akiwa na ufundi wa kupitiliza, mimi hapana nakuwa uncomfortable kwa kweli
Nimekupenda bure....agiza kinywaji popote ulipo ntalipa!Kila mtu ana ladha yake, haya mambo huwezi kuwasemea wenzako kirahisi hivyo.
Binafsi pia nilikuwa sipendi first time kukutana na "much know" kwenye hilo zoezi, nilikuwa najihisi nimekutana na kahaba, kumbe kiuhalisia tunachofanya pale ni ukahaba tu.
kuwa modest tuu, yaan waname wengi (siyo wote) hatupendi mwanamke anaye jifanya mjuaji kihiiivo na hii ina apply kwenye kila kituu, na wengi wanao jifanyaga walipitia kwa makungwi saanaa ndio huwa wanapigwa hit and run, una muacha akaoneshe uzoefu mbele huko. act in a modesty way usiwe too frighterningYaan beta uwe tu free kama ulivyo= talking the side (kwa mwanamke)ili km kuna anaependa gogo na wewe ni gogo atakuchukua and virsa versa
Kwa kusema ukweli kuna fact hapo. Tutabisha sana ila kuna ukweli kbsa.kuwa modest tuu, yaan waname wengi (siyo wote) hatupendi mwanamke anaye jifanya mjuaji kihiiivo na hii ina apply kwenye kila kituu, na wengi wanao jifanyaga walipitia kwa makungwi saanaa ndio huwa wanapigwa hit and run, una muacha akaoneshe uzoefu mbele huko. act in a modesty way usiwe too frighterning
kwa kusema ukweli you are intelligentKwa kusema ukweli kuna fact hapo. Tutabisha sana ila kuna ukweli kbsa.
Haya Mambo Yanahitaji Weledi Wa Hali Ya Juu Kufanya Maamuzi Tatizo Muda Wowote Hawakawii Kufanya Mabadiliko Madogo Kwenye Baraza La Mawaziri.Ndo uoe sasa
Wanaume wanaompinga mleta mada bado akili zenu hazijawaza ndoa na kutulia chini kuanza maisha.
Bado mpo kwenye kuwaza performance ya kitandani ndo kila kitu kwa mwanamke.
Mauno ya kitandani hayalei watoto wako,,hayawapi wanao maadili mema,hayakupikii chakula,hayakuandalii mahali pa kulala upate kupumzika wala hayakuandai wewe unapotaka kutoka.
Kama ni hivo wanawake wengi wangekua walio wazuri kitandani washaolewa,magogo yamebaki yanahangaika kujifunza mautundu.
Ndoa is beyond viuno kitandani..
Mkuu umefanya research au???Kwa taarifa yenu tu akina dada, ni kwamba wanaume wengi wanapenda kuoa wanawake ambao hawajatumika sana ktk migegedo. Japo ni ngumu kuwatambua lkn wengi wao wamekuwa wakiwapima kwa utundu wao kwenye 6*6.
Mdada unakutana kwa mara ya kwanza kimapenzi na mwanaume X, mwenye malengo ya kuoa. Lkn unakiachia kitumbua chako wazi kama screen. Unavua nguo zote na kubakia na hakuna halafu upo comfortable kana kwamba mnajuana miaka kumi iliyopita. Huyu hatakuoa maana umemtisha na hiyo over confidence ya kuachia nyuchi kiasi hicho.
Wakati wa romance mara moja unakimbilia kunyonya dushe. Mmh! Hii wanaume wengi wanataka lkn si kwa mke wa kuoa. Huolewi hata na wa Kolomije.
Kujigeuza geuza hovyo na kutangulia kutoa mapendekezo ya style.
Kwa kufanya haya yote unampa huyo mwanaume maswali mengi kichwani. Kwamba umahili huo hujazaliwa nao, bali umajifunza. Sasa umefunzwa na nani? Na kwa muda gani? Anaishia kukuweka kwenye kundi la makahaba.
Jifanye mjinga kiasi, punguza maujanja ili ucheze ngoma kwa beat la kawaida.
Is it true, hufahamu?Wanaume hamueleweki mnataka nini.