Wadada: "Ukijituma" mno kitandani huolewi ng'o!

Olewa wewe basi. Sisi tuache, usitupangie tutoleweje nyege zetu mxiiiiuuu 🚮
 
😅😂😅😂 kujituma kitandani sio kipimo cha kuja kuwa mke bora,kuna vitu vya muhimu zaidi kama upendo,huruma,uvumilivu,kutokua na gubu nk. Ndoa yoyote iliyopitishwa kwa sababu ya mauno lazima ije kuwa na shida nyingi. Ndiyo maana men hawamind kuoa bikra asiyejua kitu kwa sababu utaalam wa ngono kwa mwanamke sio jiwe muhimu kwenye taasisi ya ndoa .
 
Back
Top Bottom