Wadada nisaidieni hapa.

Mkiniona Mimi mume ame cheat na nikajua kwa uyakini usio shaka na nikaendelea kuwa nae, njooni mnicharaze bakora....


hahahaaaa wee haya wee siku hiyo tusisikie tu jamani eeh kumwacha siwezi hata na iweje....

unamkumbuka yule aliletewa mke mwenza akajinyenyekeza hadi akahurumiwa....?:crazy:
 
hahahaaaa wee haya wee siku hiyo tusisikie tu jamani eeh kumwacha siwezi hata na iweje....

unamkumbuka yule aliletewa mke mwenza akajinyenyekeza hadi akahurumiwa....?:crazy:

Hahaha usinikumbushe hadithi ya yule mtu! Naogopa kabisa
 
Hahaha usinikumbushe hadithi ya yule mtu! Naogopa kabisa

ndivyo hivyo sasa, wakati mwingine tunajiwekea ahadi nyiiingi lakini ukifikwa na la kukufika hasa, unaweza kuzikana ahadi zako mwenyewe.
 
Ishi! mbona watu wanahaha kuongeza ukubwa wa maeneo wakati sio sababu ya kuachwa maana hapa haijatajwa..
 
jamani, kuna mwingine ha cheat hata siku moja wala hachelewi kurudi nyumbani, lakini ana gubu kupita maelezo mpaka unatamani apate nyumba ndogo ahamie huko kabisa. nyumba hizi ziache kama zilivyo. hapa utapigwa blabla tu lakini tatizo ni pale likikukuta ndio utajua mbichi na mbivu...
 
-Mwanaume asiyejali
-Asiyetaka kujishughulisha (mvivu) anayetaka mwanamke ndo awe kichwa cha familia(asiyejua majukumu ya mwanaume)
_Mpigaji
-mlevi
 
@ kongosho mie ntamuelewa sana mtu anaeogopa talaka kwa sababu ya watoto wake labda anahisi akitengana na mume watoto wataathirika kwa namna moja au nyingine, lakini eti ukoo, watu watasema nini sitamwelewa kamwe!
 
hayo ya magonjwa ni matokeo na anaweza akapata au asipate vile vile.

Mimi nimezungumzia kama 'akipata' gonjwa la zinaa na kukuletea wewe. Je, utaenda tu kliniki na kupewa dozi za antibiotics na kurudi nyumbani kuendelea kupokea dozi zake?
 
Back
Top Bottom