Kwa wale ambao hawajawahi kuwaona "Wife Material" ndiyo kama hawa

Aramun

Senior Member
Nov 8, 2023
164
739
Mke kama huyu kwanza muda wa kutoka nyumbani kwenda mihangaikoni ukifika unaanza kuwaza unaondokaje?

Mke kama huyu huwezi hata kucheat, ukitaka kucheat nafsi inakusuta na unaona kabisa unachofanya ni kosa.

Mke kama huyu ni baraka kubwa ndani ya nyumba, na hakika ana uwezo wa kumfanya mwanaume yeyote akatuliza akili na akaconcentrate na maisha.

Wale wazee wa "Kataa Ndoa" nawapa pole sana kukimbia hili chama la ndoa maana ukimpata kama huyu hakika unakuwa umeshamaliza kila kitu kwenye maisha yako..
 
View attachment 2927558
Wanajifunza kuigiza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom