Wadada nchukieni ila ukweli ni .....

ongeza mkuyati ktk famasi yako
]

KUNA HOJA NTAILETA KUHUSU kile kinachowapata hawa watumia mikuyati kwa mara za kwanza,kuna madawa mengi yanayofanya kazi katika mfumo wa mkuyati( ongeza nguvu za game la kiutu uzima),kuna jamaa niliwapa ovadozi nlipokuwa naanza kazi kwa makosa wakakoma kuzitumiaga.(ikumbukwe kwenye matibabu uzoefu unaumuhimu mkubwa mwanzoni lazma utakosea kidogo ila with time unakuwa fiti kwa hiyo kumwovadozi ilikuwa bahati mbaya)
 
hapana mimi si mkabila hata kidogo, kwa taarifa wachagga wamejazana huku kwenye fani ya MATIBABU kwa hiyo collabo nao ni lazima. WACHAGGA WENGI HUITWA WASHAMBA hasa na wazawa wa dar mtaani ILA INAKUWAJE WADADA WANAWAKUBALIA kirahisi?naweza sema 70% ya wadada waliowahi kubadilisha au kuCHEAT wamewapa wachagga.pls ROSE HEBU ULIZA WENZIO UTAKUBALIANA NA HILI

Mmmhu sion la kuuliza apo
 
the mkerewe,

Soma basi angalau upate MD - clinical officer hana tofauti na nursing officer!

Badala ya kuongeza ujuzi wa taaluma yako, wewe unakaa kuongea umbea na wake za watu!

Unless wewe una homoni za kike this is VERY LOW!

The Following User Says Thank You to Baba_Enock For This Useful Post:

Asprin (Today)​
 
mmh jaman...NA KUCHOMEKEA JEANS..
pla rose na mashosti niambieni mnaangukia kivipi kwa wauza maduka,wachoma nyama,vyepe na wapiga rangi viatu?HILI JUKWAA LA MAHUSIANO LIMEJAA WACHAGAA waondoke wakafanya biashara KITUMBINI KISUTU.YAANI HATA WADADA WAJAIDINA wanawapa wala mbuzi katoliki inatisha
 
Calm down Bigiie.....Hao nimeshawagundua...wanaume wanawachukia kwasababu wadada wanawakubali pamoja mauzushi yanayovumishwa wao wanawakosa...alafu Chagga galz nao wanawatolea nje basi inabidi watunge vijisababu angalau watuchafue kidogo!
friendly speaking wadada wa kicchaga hasa waliokulia au kuishi kwa mdaa mrefu mikoani iwe moshi arusha tabora,moro au ukerewe ni wife materials, tena kama kidume hutaki presha za kuibiwa demu au mkeo bora uwe na demu mchagga.Kwa kiasi ni wagumu kuliko waha akina....
ila akina lizzy waliokulia mjini ni sana na akina asha kwa kila kitu. huongei mara mbili
 
The Following User Says Thank You to Baba_Enock For This Useful Post:

Asprin (Today)​
mrisho mpoto alisema tufanye tunachoweza kama kusoma tumeshindwa kufugie kuku madarasani kwani ndilo tuwezalo. wewe umeshindwa changia thread ya MZEE MWANAKIJIJI hata mmoja halafu unajiona una hekima.unachoweza ni hapa kwenye mahusiano tena yale ya kimaruhani mara baba vs binti yake, mama mkwe, demu mkwere vs dume mchagga ILA THREAD ZA AKILI HUWEZI
 
Dah wewe jamaaa bana umenitisha unaongea na wanawake za watu una nini lakini wewe?? Wanaume hawaji kununua dawa ni wanawake tuuu??? Umbea utakuua wewe shauri yako
KUONGEA NAO KUMENISAIDIA KUWASHIKA NA KUWAFANYA WATEJA WANGU WAKUTUMAINIWA, biashara ya pharmacy inahusisha kuuza maneno kwa sana. maduka kibao yanauza bidhaa X lakini watatoka huko kuja kwangu kama sio usanii ntakufa njaa hapa mjini kamanda au unaishi kwa wazazi huoni haja ya usanii ili mkono uende kinywani.
 
mimi ni clinical officer jioni nakuwa pharmacy nkihudumia wateja wengi ni wadada, for successful conduct ni lazma wateja wawe maswahibwa na washkaji zako,KUNA WAKATI MAONGEZI YANAVUKA MAADILI NA WADADA HUNIAELEZA WAUME ZAO,kwa kila aliyewahi kuwa na idadi kadhaa hakosi mchagaa, hivi hawa waume wa kichagga si washambaa kwa nini wadada hamsalimiki kwao?

Ndiyo mana wanaume wakichaga wanapendwa coz wanajua wanachokifanya hawako kama wewe! Eti clinical officer = Umbea? sasa mwanamke atakupenda wewe kwa lipi! labda kwa kuongea umbea then home mnalala njaa!
 
mmh jaman...NA KUCHOMEKEA JEANS..

Ulijuaje nasaa lazima wavae, haha halafu wengi wanamatege yakugusanisha miguu basi jeans inapanda inaingia katikati ya mapaja, chini ikakua fupii mkute anaharakisha utajuta kumuona.
 
pla rose na mashosti niambieni mnaangukia kivipi kwa wauza maduka,wachoma nyama,vyepe na wapiga rangi viatu?HILI JUKWAA LA MAHUSIANO LIMEJAA WACHAGAA waondoke wakafanya biashara KITUMBINI KISUTU.YAANI HATA WADADA WAJAIDINA wanawapa wala mbuzi katoliki inatisha

Umesahau na wauza kanda haaa haaa ukiskia kelele za nyimbo njiani ujue mangi anapita ha haaa.
 
Dena umbea suna hasa kwa mwanaume hehee hee muulize kasutwa mara ngapi.
dah wewe jamaaa bana umenitisha unaongea na wanawake za watu una nini lakini wewe?? Wanaume hawaji kununua dawa ni wanawake tuuu??? Umbea utakuua wewe shauri yako
 
mrisho mpoto alisema tufanye tunachoweza kama kusoma tumeshindwa kufugie kuku madarasani kwani ndilo tuwezalo. wewe umeshindwa changia thread ya MZEE MWANAKIJIJI hata mmoja halafu unajiona una hekima.unachoweza ni hapa kwenye mahusiano tena yale ya kimaruhani mara baba vs binti yake, mama mkwe, demu mkwere vs dume mchagga ILA THREAD ZA AKILI HUWEZI

Mmmm taratibu jamani!!!
 
nadhani kwa sababu wako wengi sana.
kila kona ya TZ humkosi mchaga..
sijui ndo kwa ajili ya utafutaji au uzalianaji??
 
mimi ni clinical officer jioni nakuwa pharmacy nkihudumia wateja wengi ni wadada, for successful conduct ni lazma wateja wawe maswahibwa na washkaji zako,KUNA WAKATI MAONGEZI YANAVUKA MAADILI NA WADADA HUNIAELEZA WAUME ZAO,kwa kila aliyewahi kuwa na idadi kadhaa hakosi mchagaa, hivi hawa waume wa kichagga si washambaa kwa nini wadada hamsalimiki kwao?
dumb and dumber....
 
Umesahau na wauza kanda haaa haaa ukiskia kelele za nyimbo njiani ujue mangi anapita ha haaa.
wewe mamushka acha kukandia hata kama ni mshona viatu na muuza kanda bado hawa jamaa wananidhamu ya matumizi, itakufaidi nini kutapanya mkwanja kwa starehe kisha uzeeni unapanga chumba.I AGREE THEY ARE REVOLUTIONARY IN NATURE ila sio sababu ya kuwalamba kiivyo, toa ukweli inakuwaje mnashindwa kuchomoa kwa hawa jamaa.

MAMUSHKA NAJUA HATA WEWE AU NDUGUZO WAMEONJWA NA HAWA JAMAA
 
nadhani kwa sababu wako wengi sana.
kila kona ya TZ humkosi mchaga..
sijui ndo kwa ajili ya utafutaji au uzalianaji??
wasukuma ndio wengi tz,following the scarcity of land and disire to accumulate capital chagga has spread mpaka ukerewe, ni mabingwa wa kuigiza ili uwahurumie wanapokuwa wageni na wako tayari kufanya kazi ni kazi hata kulea bibi kizee kwa matajiri ILA AKISHAYAJUA MAZINGIRA ataki tena kuajiriwa ataanza kuuza sigara za pakti mara gafla mduka mara miduka tajiri kama sio WEZI NI NINI?
 
Back
Top Bottom