Wadada nchukieni ila ukweli ni .....

mimi ni clinical officer jioni nakuwa pharmacy nkihudumia wateja wengi ni wadada, for successful conduct ni lazma wateja wawe maswahibwa na washkaji zako,KUNA WAKATI MAONGEZI YANAVUKA MAADILI NA WADADA HUNIAELEZA WAUME ZAO,kwa kila aliyewahi kuwa na idadi kadhaa hakosi mchagaa, hivi hawa waume wa kichagga si washambaa kwa nini wadada hamsalimiki kwao?

Maswahiba na washikaji zako wa kupiga umbea sio.
Yani kwanza unaanza je?

Mmmm mwanaume mmbeyaaaaaaaaaaaaaaaa!!!

Naomba nisikutane na mwanaume mwenye umbea kama huu.
Umbea wa wanaume ni huu.

Jinsi ya kupata nyumba au kiwanja.
Jinsi ya kumnunulia waifu gari.
JInsi ya kufungua biashara kubwa yenye ushindani sio kifamasi cha kupigia umbea...

Umesikia ee, uache umbea wa kijinga.
 
Dah wewe jamaaa bana umenitisha unaongea na wanawake za watu una nini lakini wewe?? Wanaume hawaji kununua dawa ni wanawake tuuu??? Umbea utakuua wewe shauri yako
 
sasa uchukie kwa lip?
dah umbeaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ....sasa theme yako apo ni WACHAGA WAMEWACHANJA AO MASHOST ZAKO WOTE AU UNATAKA UTUAMBIEJE LABDA CZ MI SJAELEWA UNATAKA KUSEMAJE?I WANT TO SMELL UKABILA BT I REFUSE ..i wanna try udhalilishaji bt i failed n nw i conclude its LOW....N NW M MOVING:car::car:
hapana mimi si mkabila hata kidogo, kwa taarifa wachagga wamejazana huku kwenye fani ya MATIBABU kwa hiyo collabo nao ni lazima. WACHAGGA WENGI HUITWA WASHAMBA hasa na wazawa wa dar mtaani ILA INAKUWAJE WADADA WANAWAKUBALIA kirahisi?naweza sema 70% ya wadada waliowahi kubadilisha au kuCHEAT wamewapa wachagga.pls ROSE HEBU ULIZA WENZIO UTAKUBALIANA NA HILI
 
Mwanamke akiwa na mchagga ana guarantee hatakufa njaa.
 
Focus kwenye biashara usijefunga ki-pharmacy chako, mapenzi/umbeaumbea na biashara ni sawa na maji na mafuta!
TAFADHALI NIELEWE for successfull conduct lazma stori kwa sana, unadhani ni kwa nini pharmacy za wadada huyumba kimapato?wadada wanataka pahala pa kuongelea mazuri na mabaya yao, nawasaidia kiushauri hata wamama watu wazima.usipokuwa mwongeaji wanaanza kupotea mmojammoja.Mimi ni njanja kibiashara siri zao nawatunzia ndio maana wananiamini.ila wanatoka sana na wachaga nawengi wanajua hata salam zao .
 
Usitoe siri za wateja wako. Umesomea wapi mdogo wangu? Wewe ni babalishe sio clinical officer.
ndio maana siwezi kuwataja kwa majina, ila nahisi wadada wanaujinga fulani kwa kujipendekeza kwa wachagaa.WACHAGA HAWAJUI MAPENZI NI WABAHILI SASA KWA NINI WAPANDISHE UGUMU WA KUWAPATA WANADADA?DEMU AITWE MARIA AU ASHA ACHOMOI kwa hivi vijamaa.
 
Dah wewe jamaaa bana umenitisha unaongea na wanawake za watu una nini lakini wewe?? Wanaume hawaji kununua dawa ni wanawake tuuu??? Umbea utakuua wewe shauri yako
80% ya WATEJA NI WANAWAKE, nakwambia mtabibu yeyote hujua siri nyingi za mtaa kuliko kawa.WEWE NJOO LEO NA DEM WAKO ILA KESHO AKIJA ATANIELEZA mwanzo mwisho kukuhusu wewe hasa kibaiologia.atakufananisha na vidume wengine na hapo ndipo MCHAGGA huingia kwenye stori.NAWASHAURI WADADA WAWANYIME HAWA JAMAA manake with time kila shosti anakuwa ameonja BIOS YA UCHAGGA
 
mimi ni clinical officer jioni nakuwa pharmacy nkihudumia wateja wengi ni wadada, for successful conduct ni lazma wateja wawe maswahibwa na washkaji zako,KUNA WAKATI MAONGEZI YANAVUKA MAADILI NA WADADA HUNIAELEZA WAUME ZAO,kwa kila aliyewahi kuwa na idadi kadhaa hakosi mchagaa, hivi hawa waume wa kichagga si washambaa kwa nini wadada hamsalimiki kwao?

Mshamba ni wewe..wenzako wanapeta!!!!
 
mimi ni clinical officer jioni nakuwa pharmacy nkihudumia wateja wengi ni wadada, for successful conduct ni lazma wateja wawe maswahibwa na washkaji zako,KUNA WAKATI MAONGEZI YANAVUKA MAADILI NA WADADA HUNIAELEZA WAUME ZAO,kwa kila aliyewahi kuwa na idadi kadhaa hakosi mchagaa, hivi hawa waume wa kichagga si washambaa kwa nini wadada hamsalimiki kwao?
ongeza mkuyati ktk famasi yako
 
Maswahiba na washikaji zako wa kupiga umbea sio.
Yani kwanza unaanza je?

Mmmm mwanaume mmbeyaaaaaaaaaaaaaaaa!!!
Hadi wakuambie habari mbaya za waume zao, wanataka nini labda?
Na wee hujiulizi? Akuambia mme wake hajui kwamba wewe ndo unajua au?

Naomba nisikutane na mwanaume mwenye umbea kama huu.
Umbea wa wanaume ni huu.

Jinsi ya kupata nyumba au kiwanja.
Jinsi ya kumnunulia waifu gari.
JInsi ya kufungua biashara kubwa yenye ushindani sio kifamasi cha kupigia umbea...

Umesikia ee, uache umbea wa kijinga.
The Following User Says Thank You to LD For This Useful Post:

Bigirita (Today)​
 
ndio maana siwezi kuwataja kwa majina, ila nahisi wadada wanaujinga fulani kwa kujipendekeza kwa wachagaa.WACHAGA HAWAJUI MAPENZI NI WABAHILI SASA KWA NINI WAPANDISHE UGUMU WA KUWAPATA WANADADA?DEMU AITWE MARIA AU ASHA ACHOMOI kwa hivi vijamaa.
Ushawahi kuwa na basha la kichaga?
sasa wanakwambia wapelekewa khabari na vijana wa kichaga wewe huwaulizi kama ni tamu sana ili na wewe utafute kijana safi wa kichaga awe ana kuchechetua?
 
ndio maana siwezi kuwataja kwa majina, ila nahisi wadada wanaujinga fulani kwa kujipendekeza kwa wachagaa.WACHAGA HAWAJUI MAPENZI NI WABAHILI SASA KWA NINI WAPANDISHE UGUMU WA KUWAPATA WANADADA?DEMU AITWE MARIA AU ASHA ACHOMOI kwa hivi vijamaa.

No kwa hapa nitasema............. generalization halafu unatuita wajinga? tunajipendekeza kwa wachaga?? eti.ugumu wa kuwapata?

Wewe utakuwa domo zege kama hujui kuwaimbisha usiwasemee mbovu.
Mwone vile!
 
Wachaga si mafara etii nyie mnaowajadili ndio mafara kwani miakili yenu imekwama kwenye ngono wao ni zaidi kwani wanajipambanua katika maisha na upana wake!
 
mimi ni clinical officer jioni nakuwa pharmacy nkihudumia wateja wengi ni wadada, for successful conduct ni lazma wateja wawe maswahibwa na washkaji zako,KUNA WAKATI MAONGEZI YANAVUKA MAADILI NA WADADA HUNIAELEZA WAUME ZAO,kwa kila aliyewahi kuwa na idadi kadhaa hakosi mchagaa, hivi hawa waume wa kichagga si washambaa kwa nini wadada hamsalimiki kwao?
mkuu, unahitajika kurenew jinsia yako (kama ni mwanaume), naona inaanza kuexpire kidogo kidogo. utakaaaje na wadada uanze kuongelea idadi na kabila la wanaume anaotoka nao? uscheze nao sana hao watakupeleka kichen pati halaf tukupoteze.
 
mmh nan kakudanganya?
kwa kukopa ao hawafai..
akimpa demu ela ya salun january basi ataizungumzia mpk desemba...mama manka ile pesa imeisa?ahh mbona nilikupa jana tu...?

tena nwele zenyewe za lace wiggy za laki 8 lazima amaind
 
Back
Top Bottom