OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,693
- 106,057
Huyo mwanaume naye kwa nini atoe hela?
achiiachiiInaaminika kuwa ni ujanja kula Hela ya mtu na kukimbia na kutangaza kuwa sio taipu yangu, mshamba, kajipendekeza etc.
Spiritually ( kiroho) mtu akikupa kitu chake, ukapokea, tayari umejiunganisha naye chochote atakachotamka dhidi yako kitakupata, akikulaani, laana hiyo itakupata, hujaolewa/ Mwanaume hujaoa jichunguze wanaume/ wanawake uliokula Hela zao Kwa madharau wamekulaani bila wewe kujua.
Epuka utumwa Kwa wanaume au Wanawake Kwa kutosheka na ulivyonavyo,acha kujifunga mguu mwenyewe na kuomba watumishi wakuombee!
Kuna Dada kutoka Dodoma, Mwimbaji wa nyimbo za injili, alinieleza shida zake,alisema anahitaji nauli kuja Dar es salaam.
Nikamtumia Hela,niliona kweli ana kipaji na Mtumishi wa Mungu,kumbe alikuwa tapeli, sikumsikia baada ya kupokea ule mwamala, imepita miaka miatatu kaanza kunitafuta, nilishamsahau,kajieleza,anataka mawasiliano namimi! Nikagundua ni Hela zile zinasumbua nafsi yake!
Elimu ya Bure,Mwanadada/ mwana kaka,kaa Mbali na utumwa wa pesa za watu Ili kuishi maisha ya Utulivu mbele ya safari.
Mkuu wadada wa siku hizi,anaweza onyesha viashiria kuwa amekuelewa,ukawa huna shaka,wangapi wanaachwa? Sio wajinga, Naamini wanaume wengi tunapenda kutoa Hela Kwa wanawake kama ishara ya Upendo, support,kuonyesha uwezo wa kubeba majukumu n.kHuyo mwanaume naye kwa nini atoe hela?
Mithali 15:27Inaaminika kuwa ni ujanja kula Hela ya mtu na kukimbia na kutangaza kuwa sio taipu yangu, mshamba, kajipendekeza etc.
Spiritually ( kiroho) mtu akikupa kitu chake, ukapokea, tayari umejiunganisha naye chochote atakachotamka dhidi yako kitakupata, akikulaani, laana hiyo itakupata, hujaolewa/ Mwanaume hujaoa jichunguze wanaume/ wanawake uliokula Hela zao Kwa madharau wamekulaani bila wewe kujua.
Epuka utumwa Kwa wanaume au Wanawake Kwa kutosheka na ulivyonavyo,acha kujifunga mguu mwenyewe na kuomba watumishi wakuombee!
Kuna Dada kutoka Dodoma, Mwimbaji wa nyimbo za injili, alinieleza shida zake,alisema anahitaji nauli kuja Dar es salaam.
Nikamtumia Hela,niliona kweli ana kipaji na Mtumishi wa Mungu,kumbe alikuwa tapeli, sikumsikia baada ya kupokea ule mwamala, imepita miaka miatatu kaanza kunitafuta, nilishamsahau,kajieleza,anataka mawasiliano namimi! Nikagundua ni Hela zile zinasumbua nafsi yake!
Elimu ya Bure,Mwanadada/ mwana kaka,kaa Mbali na utumwa wa pesa za watu Ili kuishi maisha ya Utulivu mbele ya safari.
Wanawake wana save namba hata kwa miaka5,yaan wanadestuli hiyo sasa huko wakiona hawaelewi ndio hukumbuka wale ambao walikuwa wanawasaidia sijui wakijua wajingaHata mimi nimewahi kumtongoza mdada mmoja hivi kumbe alikuwa na mtu wake mimi sijui,akawa ananiomba hela nampa,kila akiniomba hela namtumia baadae ghafla akakata mawasiliano baada ya chenga nyingi za kukwepa kwenda faragha,sh Kama laki moja na nusu mdada alichukua ila kwa awamu
Baadae nami nikapotezea baada ya kukata mawasiliano nikasikia ameolewa na jamaa,basi maisha yakaendelea,baada ya mwaka mmoja mume wake akamkimbia kwa sababu ya ugumu wa maisha na mwanamke alikuwa mjamzito ikabidi mdada arudi kwa wazazi
Ghafla nakutana na missed call,kupiga akajitambulisha,nikasema poa tupo,baada ya siku kadhaa akatuma sms anaomba nisimkaushie pia nimpende Kama zamani
Nikamwambia "Nikamwambia si ulijifanya mjanja kula hela yangu na kunipiga chengaa ukaona wewe mjanja,wewe pambana na hali yako haupo moyoni tena"
Hakujibu sms akakaa kimya Kama mwezi akanitafuta tena akiniomba tuwe marafiki tu wakawaida nikasema haina shida,kesho yake jioni akatuma bonge la sms akiniomba nirudishe moyo wangu nimpende anajutia kosa mwishoni akaniomba niwe karibu na yeye kipindi hiki kigumu cha ujauzito na pia nimsaidie matumizi na fedha ya kwenda kujifungua
Niliguna tu,hata sikujibu sms, akawa akituma sms sijibu,akipiga simu sijibu akaamua kuacha na mtaani hakutaka tukutane uso kwa uso, nikasikia ameenda kuishi kwa dada yake,
Wanawake bwana wanajisahau sana
Tena wanatunza Ili wakipatwa na shida waje kupiga mizinga,wapo tayari kutoa chochote.nimeshatafutwa sana,una shangaa za siku? Za miaka,upo? Umenisusa?!Wanawake wana save namba hata kwa miaka5,yaan wanadestuli hiyo sasa huko wakiona hawaelewi ndio hukumbuka wale ambao walikuwa wanawasaidia sijui wakijua wajinga
HaswaahPrinciple ni moja tu...
Toa pesa kwa mtu ukiwa na nia nyeupe ya kumsaidia...
woiiiiiihwewe kama hutaki kuliwa hela kaa na hela zako mwache na uchi wake ikikuuma saa n ww kaweke uchi ule hla za watu ujiunganishe kiroho
tusichaganyane kwakweli muda hautoshiwoiiiiiih