Wadada je yanawakuta haya????

Missy

Member
Dec 6, 2011
17
4
Kwa nini wanaume wanakuwa wakali wife/girl friend/lover wanapo pewa vitu na watu wengine? Na kwanini kitucha kwanza wanafikiri ni kuwa wamepewa na wanaume?

Is it because they do the same to other ladies instead of doing it to you?

Au pia utakuta kama ni girl friend/lover they (the man) comes kwa mdada expecting to find everything in the house but he does not bother paying or buying anything and he seats waiting for the lady to ask for money or ask him to pay for something.

Kwani haoni kuwa kuna vitu vimepungua? au haoni aibu kila kitu kipo with out his help? and yet on top of that uki-ask for money anasema hana ukipata somewhere else anakuwa mkali.

Why does it have to be this way, guys caint you just pay/buy without being asked?
 
Lizzy,kwani amesema ili awe nae kwaajili ya kumnunulia vitu? nilivyomuelewa mimi nikwamba the guy should not jealous nor angry and he should be responsible notexpecting her to do everything
 
They dont buy because you are not their responsibility.
Afu they ask sababu ni swali kama swali lingine lolote.
Wanakuwa wakali sababu siku hizi wadada wanazichanga kwa watu wengiwengi.
 
Kwa mtazamo wangu..kama wawili wameshibana na wanafahamiana vizuri kwamba huyu anafanya shughuli fulan for a living na kadhalika,haitokuwa ajabu saana kuona mdada kanunua laptop mpya au kanunua luku kama sehem ya mahitaji yake binafsi...unless kama mdada hana shughuli ya kueleweka hapa mjini then unaona anaingiza tu vitu ndani hapo ndo unaweza ukauliza inakuwaje kuwaje hapo kati...! Otherwize,kama mdada ameamua kupanga that means anajiweza..hawezi akakaa tena akaanza kutegemea boifren asawazishe mambo...haihuuuu kumlaumu jamaa juu ya majukumu yake binafsi!!!
 
Lizzy,kwani amesema ili awe nae kwaajili ya kumnunulia vitu? nilivyomuelewa mimi nikwamba the guy should not jealous nor angry and he should be responsible notexpecting her to do everything
Awe responsible kwani amekuoa?
Mtu yeyote ambae sio ndugu yako wa damu au wa ndoa, wala hamjafikia angalau hatua ya kuchumbiana hana wajibu ya maswala yako ya kifedha.Akifanya kitu na kwasababu amependa na sio kwa kulazimika.
 
Kwa nini wanaume wanakuwa wakali wife/girl friend/lover wanapo pewa vitu na watu wengine? Na kwanini kitucha kwanza wanafikiri ni kuwa wamepewa na wanaume?

Is it because they do the same to other ladies instead of doing it to you?

Au pia utakuta kama ni girl friend/lover they (the man) comes kwa mdada expecting to find everything in the house but he does not bother paying or buying anything and he seats waiting for the lady to ask for money or ask him to pay for something.

Kwani haoni kuwa kuna vitu vimepungua? au haoni aibu kila kitu kipo with out his help? and yet on top of that uki-ask for money anasema hana ukipata somewhere else anakuwa mkali.

Why does it have to be this way, guys caint you just pay/buy without being asked?

Kwani siku hizi si haki sawa kwahiyo kila mmoja anahaki yakumpa mwenzake?
 
A

Au wengine wanataka kukufanya baba yao au mama yao

Hapo sasa. . . .mtu hata hajui kama atakua na wewe mwaka unaofuata unataka aanze kukununulia vitu ambavyo huna. Kama kitu huna uwezo nacho kua bila mpaka utakapokua na uwezo na sio kugeuza watu wengine mtaji.
 
Upande wangu naona wanaume wengi kwa sasa wakitoa chochote kwa mwanamke wanaexpect kungonoka nae otherwise hawezi kumpa. So kutokana na hali hiyo mwanaume lazima ahofu kitu kama hicho
 
Hapo sasa. . . .mtu hata hajui kama atakua na wewe mwaka unaofuata unataka aanze kukununulia vitu ambavyo huna. Kama kitu huna uwezo nacho kua bila mpaka utakapokua na uwezo na sio kugeuza watu wengine mtaji.

Ila bado najiuliza kitu kimoja, kwanini alete hasira zake? I mean, kwanini akasirike anapokuta mwenzake kanunua vitu, au mahitaji mengine??
 
Inawezekana ana wivu au haamini kwamba huyo mwenzake ana uwezo wa kununua hivyo vitu hivyo anadhani kuna mtu anamhobga (meaning mwanaume mwingine ambae anaweza akawa anatumia hivyo vitu kunrubuni mdada au tayari wanatoka wote.
 
Kwa nini wanaume wanakuwa wakali wife/girl friend/lover wanapo pewa vitu na watu wengine? Na kwanini kitucha kwanza wanafikiri ni kuwa wamepewa na wanaume?

Is it because they do the same to other ladies instead of doing it to you?

Au pia utakuta kama ni girl friend/lover they (the man) comes kwa mdada expecting to find everything in the house but he does not bother paying or buying anything and he seats waiting for the lady to ask for money or ask him to pay for something.

Kwani haoni kuwa kuna vitu vimepungua? au haoni aibu kila kitu kipo with out his help? and yet on top of that uki-ask for money anasema hana ukipata somewhere else anakuwa mkali.

Why does it have to be this way, guys caint you just pay/buy without being asked?

Hayo maneno yenye bold yanafanya mada yako iwe na utata.Hebu fafanua tafadhali:
1. Huyo siyo mume ni bwana/boifrend, lakini anajiwalia jukumu/madaraka kukuchunguza pesa unapata wapi?
2. Umejuaje anakuja kwako akitarajia uwe na kila kitu?
3. Kama anakuja kwako, ni mgeni wako, unataka alipe kwanini?
4. Je uendapo kwake, anakukirimu au naye anataka ulipie kama wewe unavyomtarajia?
 
Kwa nini wanaume wanakuwa wakali wife/girl friend/lover wanapo pewa vitu na watu wengine? Na kwanini kitucha kwanza wanafikiri ni kuwa wamepewa na wanaume?

Is it because they do the same to other ladies instead of doing it to you?

Au pia utakuta kama ni girl friend/lover they (the man) comes kwa mdada expecting to find everything in the house but he does not bother paying or buying anything and he seats waiting for the lady to ask for money or ask him to pay for something.

Kwani haoni kuwa kuna vitu vimepungua? au haoni aibu kila kitu kipo with out his help? and yet on top of that uki-ask for money anasema hana ukipata somewhere else anakuwa mkali.

Why does it have to be this way, guys caint you just pay/buy without being asked?

ningekuwa mimi ndio wewe nisingesema hapa hadharani kuna shefa linahudumia LOLS
 
Inawezekana ana wivu au haamini kwamba huyo mwenzake ana uwezo wa kununua hivyo vitu hivyo anadhani kuna mtu anamhobga (meaning mwanaume mwingine ambae anaweza akawa anatumia hivyo vitu kunrubuni mdada au tayari wanatoka wote.

Sasa huyo tumuweke kwenye kundi gani? Kwenye manunuzi anajiweka kando, mwenzake akinunua ye anageuka mbogo na kutoka povu la wivu, maana yake nini?? Mi nadhani apige kimya vitu isiwe sababu, kama kuna tetesi au hisia za usaliti/kuhongwa ni bora kuwa reasonable na kuambizana wazi. Sio ye pesa yake mfuko wa nyuma, alafu siku akikuta sofa ndani anajifanya kukasirika as if mafanikio ya mdada yanasubiri amri yake! Kwa sababu hiyo sio limitation kwamba mkaka asipotoa basi na mdada hatonunua kitu!!!
 
kwa uelewa wangu ;

Zawadi inaweza kua ni kuonyesha upendo, kutoa pongezi, kutoa heshima na alama ya urafiki kati ya mtoaji na mpokeaji!

sasa unatulaumu kwanini kwa kuazinagatia hayo hapo juu..................zawadi inaweza kuwa avenue ya mapinduzi, ama kisingizio cha ukaribu.............so lazima ni hoji upatikanaji wake ikiwa sitaridhika nao!

Ebo............yaani nikukte na BIMA (BMW) kutoka kwa pedezshee alafu nikeue tu kufurahia wewe kupewa zawadi?
 
Hivi kwa mfano uko kwenye mahusiano na mtu na si mume wako unaanzaje kumuomba hela?
Hili somo sikulielewa kwa mnaojua nifumbueni jamani.
 
Back
Top Bottom