Heheh . . . . nipunguzie wengineHivi kwa nini mabinti/wanawake/madada wasioolewa wanapenda kudate na waume za watu. Ni fashion, au waume za watu ni watamu. yaani mabinti sasa wamekuwa kero kwangu. Msaada tafadhali.
ni kweli kabisa!kwakweli sio kama wadada wanawapenda ila mnachunwa lakwanza, lapili ww ikifika saa 12 jioni cm yako iko kwenye silent mode anakwenda kwa wake ampendae ww mara moja moja mpaka mke aende harusini ndio uonge nae,au uende chooni ukafungue maji ndio uonge sasa wadada wameona nyie muwe atm manake hamkeri.
Inamaana huwa unakesha?mh wanakupenda kweli mimi ukiingia kwenye anga zangu hadi saa tisa usiku napiga
wapo wengi 2 mtaani,ila uwe na character ya 3 Cs: car,cash n chips 4 them.ndo maana cku hizi vijana wanaazima magari ya watu kwa lengo la kuwapata!ha,ha,haaaaaa!Wanapatikana wapi hao?
Hapo umenenaKwakweli sio kama wadada wanawapenda ila mnachunwa lakwanza, lapili ww ikifika saa 12 jioni cm yako iko kwenye silent mode anakwenda kwa wake ampendae ww mara moja moja mpaka mke aende harusini ndio uonge nae,au uende chooni ukafungue maji ndio uonge sasa wadada wameona nyie muwe ATM manake hamkeri.