Wadada Jamani!!

SMART1

Senior Member
Nov 2, 2010
133
48
Hivi kwa nini mabinti/wanawake/madada wasioolewa wanapenda kudate na waume za watu. Ni fashion, au waume za watu ni watamu. yaani mabinti sasa wamekuwa kero kwangu. Msaada tafadhali.
 
tena waume za watu mnaitaji maombi maalum maana mmekosa adabu na mnapenda kunganganiiiia hata mkitoswa
sasa hao wamepatia
no yako wameitoa wapi? ndo raha ya kujigonga iyo
 
Hivi kwa nini mabinti/wanawake/madada wasioolewa wanapenda kudate na waume za watu. Ni fashion, au waume za watu ni watamu. yaani mabinti sasa wamekuwa kero kwangu. Msaada tafadhali.
Heheh . . . . nipunguzie wengine
 
Nadhani ungewauliza hao wakaka wanafata nini kwa hao wadada wakati wana wake zao eboo!!!
 
Bebii,
kwani no. kapata kwenye email yangu. si kusumbua huko ila wana adabu kidogo ikifika saa kumi jioni hawapigi simu....
 
mh wanakupenda kweli mimi ukiingia kwenye anga zangu hadi saa tisa usiku napiga
 
Life is more interesting if its full of adventures...and i guess that is hell of the one! for both of them!
 
@Bebii....
yaani sio siri watoto wa kike mmekuwa kero yaani, tutunzwe na wengine nyie mtumezee mate Mshindwe Katika jina ya YESU......

ina maana kabla ya kuoa mlikuwa hamtuoni au......, tena mlikuwa mnatudharau sasa ooh ai lavi yuu soo machi kwendeni zenuuuuuuuuuuuu!!!
 
wapi wewe unapenda wanaume kwa mashauzi umewagandia wadada wa watu then unajishaua
kuachana na mtu si unaamua mwenyewe au waache tuone
 
Kwakweli sio kama wadada wanawapenda ila mnachunwa lakwanza, lapili ww ikifika saa 12 jioni cm yako iko kwenye silent mode anakwenda kwa wake ampendae ww mara moja moja mpaka mke aende harusini ndio uonge nae,au uende chooni ukafungue maji ndio uonge sasa wadada wameona nyie muwe ATM manake hamkeri.
 
kwakweli sio kama wadada wanawapenda ila mnachunwa lakwanza, lapili ww ikifika saa 12 jioni cm yako iko kwenye silent mode anakwenda kwa wake ampendae ww mara moja moja mpaka mke aende harusini ndio uonge nae,au uende chooni ukafungue maji ndio uonge sasa wadada wameona nyie muwe atm manake hamkeri.
ni kweli kabisa!
 
jamaa walio oa wana provide kwa madada ndo mana kwa kuwa washazoea kuacha ma2mizi nyumban
 
Kwakweli sio kama wadada wanawapenda ila mnachunwa lakwanza, lapili ww ikifika saa 12 jioni cm yako iko kwenye silent mode anakwenda kwa wake ampendae ww mara moja moja mpaka mke aende harusini ndio uonge nae,au uende chooni ukafungue maji ndio uonge sasa wadada wameona nyie muwe ATM manake hamkeri.
Hapo umenena
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom