Wachora katuni wanaoumiza kichwa!!!!!

suleym

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,960
1,205
kwangu kipanya anashika nambari 1 anafuatia kingo halafumpangala a.k.a kijasti ! vp kwa upande wako mdau wa katuni?
 
Kipanya. . .then wengne wanajitutumua

hasa linapokuja suala la siasa jamaa haogopi aisee anagoga kunakohusika, na akig'ang'ania issue haiachi mapema mf mgao wa umeme alichora katuni za giza mpaka basi.huyuni zaidi ya waandishi wa Makala ndefu zisizokuwa na hoja!!!!
 
kipanya, kijasti, kingo..........then wengine wanajikongoja.
 
Kipanya mpangala na kingo ni balaa wanatusahaulishaga machungu kwa muda na kutufanya tuongeze cku za kuishi
 
wengine :
feDe
kabwela
wakudata.
...........
dogo- OSCAR Makoye
 
kingo yupo juu coz hakutafunii. yeye anakupa kazi ya kusoma picha. katuni yake ilonifurahisha ni;
Alikua anaenda job asubuhi, alipofika nje kama mita 100 akaona nzi wanamfuata kibao mgongoni, ikabidi arudi home, alipo ingia nzi wakabaki mlangoni, ikabidi ajifungie ndani kisha katokea dirishani kwa nyuma akawahi zake stand. nzi wakabaki soremba.
But hata KP yupo juu.
 
hasa linapokuja suala la siasa jamaa haogopi aisee anagoga kunakohusika, na akig'ang'ania issue haiachi mapema mf mgao wa umeme alichora katuni za giza mpaka basi.huyuni zaidi ya waandishi wa Makala ndefu zisizokuwa na hoja!!!!

I agree with you totally. Kama ya mwananch ya leo umeiona? So well-thought of.
 
Back
Top Bottom