Chifunanga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 290
- 98
Wadau,
Wikileaks imetoa news kuwa kampuni ya China ya Huawei imekiri kutumiwa na China kufanya ushushushu.
Kuna baadhi ya mitandao ya simu hapa nchini kwetu bongo ambayo inatumia mitambo hii ya Huawei.
Source: U.S. cable throws more mud at Huawei - Networking - Technology - News - iTnews.com.au