Uncle bright
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 1,040
- 4,080
tuna game ngum na muda wa kujiandaa unaenda kumezwa na haya mashindano uchwara, Taifa stars inatarajiwa kurudi tarehe 27, hatujakaa sawa tarehe 29 kuna mechi ngumu dhidi ya Al Ahly
Kuna tetesi Al Ahly wameomba Wachezaji wasijumuishwe Team ya Taifa wabaki wajiandae na club bingwa.
Kwa upande wa watani, Mamelody wachezaji wengi wameitwa timu za Taifa
Tatizo linakuja mashindano ya Caf ni siku chache tu baada ya bonanza hilo, hapo kuna wachezaji waalioitwa timu za taifa wanaweza kukosa mechi, pia ambao watarudi inaweza kuwa ngumu kurejea kwenye mfumo ndani ya siku hizo chache