Wachaga ndio kabila pekee ambalo haliwezi kuua sababu ya pesa

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,488
20,444
Niko Moshi mida hii, aiseee wachagga wanajua kula Bata. Na pia Wana mshikamano na upendo. Huku ni chupa juu ya chupa. Mbuzi hadi nawaonea huruma, halafu utaratibu ni ule ule kila nyumba.

Hii ikanikumbusha juu ya uaminifu walionao ndugu zetu kutoka milimani Kilimanjaro.

Mchagga ni mtu pekee au mmoja ya watu wachache ambaye kabla ya kufa ukimuachia bilioni 5 ili aje ampatie mwanao akifikisha miaka 21 .mwanao akifikisha umri huo lazima hiyo hela ataipata yote.

Ukifanya nao partnership kwenye biashara hakutakuwa na mbambamba, sijui kutapeliana wala nn.

Sijawahi kusikia mchagga katapeli kiwanja sehemu yoyote ile. Huwa vitu vyao wanapambania kwa jasho lao. Hamna dhulma.

Hata dada zao hawawezi kufanya ujinga wowote ule kwa waume zao eti kwa sababu ya tamaa za mali. Ukioa mchagga hasa hawa wa upande wa Machame, hata ukiwa Bakhresa lazima uzeeke na wife pamoja.

Wakuu tutaonana Dodoma tarehe 2 baada ya kumaliza Bata pande hizi. Wachagga mbarikiwe Sana ndg zangu.
 
Wachaga kwenye pesa na mali hawana ubinadamu wa kuwafanya washindwe kuua mtu
 
Kwani yule mdada aliemuua mama yake ili arithi si alikua wa huko kwenu? Naomba kusahihishwa kama nimekosea!

Ila wachagga wa siku hizi mko na misifa kuwazidi Wahaya!
 
Niko Moshi mida hii, aiseee wachagga wanajua kula Bata. Na pia Wana mshikamano na upendo. Huku ni chupa juu ya chupa. Mbuzi hadi nawaonea huruma, halafu utaratibu ni ule ule kila nyumba.
Hii ikanikumbusha juu ya uaminifu walionao ndugu zetu kutoka milimani Kilimanjaro .
Mchagga ni mtu pekee au mmoja ya watu wachache ambaye kabla ya kufa ukimuachia bilioni 5 ili aje ampatie mwanao akifikisha miaka 21 .mwanao akifikisha umri huo lazima hiyo hela ataipata yote.

Ukifanya nao partnership kwenye biashara hakutakuwa na mbambamba, sijui kutapeliana wala nn.

Sijawahi kusikia mchagga katapeli kiwanja sehemu yoyote ile. Huwa vitu vyao wanapambania kwa jasho lao. Hamna dhulma.

Hata dada zao hawawezi kufanya ujinga wowote ule kwa waume zao eti kwa sababu ya tamaa za mali. Ukioa mchagga hasa hawa wa upande wa Machame, hata ukiwa Bakhresa lazima uzeeke na wife pamoja.

Wakuu tutaonana Dodoma trh 2 baada ya kumaliza Bata pande hizi. Wachagga mbarikiwe Sana ndg zangu.
Mbna Kama umekuja kivingine Sana oly for those who went to cuba

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Niko Moshi mida hii, aiseee wachagga wanajua kula Bata. Na pia Wana mshikamano na upendo. Huku ni chupa juu ya chupa. Mbuzi hadi nawaonea huruma, halafu utaratibu ni ule ule kila nyumba.

Hii ikanikumbusha juu ya uaminifu walionao ndugu zetu kutoka milimani Kilimanjaro.

Mchagga ni mtu pekee au mmoja ya watu wachache ambaye kabla ya kufa ukimuachia bilioni 5 ili aje ampatie mwanao akifikisha miaka 21 .mwanao akifikisha umri huo lazima hiyo hela ataipata yote.

Ukifanya nao partnership kwenye biashara hakutakuwa na mbambamba, sijui kutapeliana wala nn.

Sijawahi kusikia mchagga katapeli kiwanja sehemu yoyote ile. Huwa vitu vyao wanapambania kwa jasho lao. Hamna dhulma.

Hata dada zao hawawezi kufanya ujinga wowote ule kwa waume zao eti kwa sababu ya tamaa za mali. Ukioa mchagga hasa hawa wa upande wa Machame, hata ukiwa Bakhresa lazima uzeeke na wife pamoja.

Wakuu tutaonana Dodoma tarehe 2 baada ya kumaliza Bata pande hizi. Wachagga mbarikiwe Sana ndg zangu.
Wapale wezi
 
Umeamua kuwapamba tu. Katika watu wasiojali utu mbele ya pesa ni watu wa kanda hiyo
 
Ww ni mchaga Ila una tabia za Kihaya uwiiiii.
 
Hoja yako ni mbambamba tupu
 
Jamii forum inatumika sana kama chombo cha kueneza ukabila na chuki za kidini na hii imekuwa ni hivi kwa muda mrefu,

Sasa ni bora serikali iifute tu kabisa tuendelee kutumia mitandao ya wahariri waliosajiliwa moja kwa moja na sio kila mtumiaji anaandika utumbo wake mwenyewe

Haya mambo user contents tuwaachie nchi zilizo staharabika huko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom