wachaga mlioacha wake zenu vijijini,wakenya wanawasaidia shughuli

Mama Manka hawezi kufanya ivo, asbh anaenda kuuza ndizi sokoni, akirudi anapalilia migomba halafu anakatia ng'ombe majani kisha anaandaa chakula, akimaliza anapika mbege halafu anatafta msesewe ili aweke kwenye mbege, baada ya hapo anakunywa mbege halafu analala! Anachoka sana mke wangu, hawez fanya hiyo ki2! Kiruuu.
 
Hivi msipotuongelea hampati raha nyie machalii? Ache wale vi2 we unajua mkeo au dem wako anagongwa na nan? Kaa kimya we suudu!
 
wakuu tupo moshi na tumeingia kijijini kwetu juzi,kwangu mimi ni muda mrefu kidogo sjafika huku kwa sababu ya shughuli za kazi,nimeshangaa sana kuona jinsi wakenya walivyojaa huku kijijini kwetu,nimefatilia nikapata jibu wanasaidia kwenye kazi za kulima,kukata miti n.k,kuna taarifa hata vijiji vingine ni the same,wachaga mlioacha wake zenu huku na kwenda kutafuta pesa kama walivyokuwa wakifanya wazazi wetu zamani mnakabiliwa na hatari ambayo hamjajua bado,hawa wakenya wana mahusiano na wake zenu na inaaminika wanawasaidia sana kwenye ile shughuli ya 6x6 ,utakuta mtu kasafiri mwaka mzima anarudi december anakaa kidogo anaondoka tena,zamani haikuwa hivi lakini mambo yamebadilika ghafla,kazi kwenu na wazee wenzenu wa kikenya,wasiwasi wetu ni kuzaliwa vitoto vinavyofanana na wakenya huku kwetu,wakuu hatutaki kabisa ile damu ya kikenya kuzaliwa kwetu,jitahidini kuwa na wake zenu karibu


Mkuu tafuta vuvuzela uwaelimishe hao wenzio maaana tumeshalisemea sana hilo mkadai siku hizi hamna, kila mtu anaenda na wake kokote kule anakotafutia riziki. Hili la kuanza kuwaamsha wenzio ni ushahidi kuwa 'hasidi haachi asili'..........na nilishangaa majibu yale!
 
Mama Manka hawezi kufanya ivo, asbh anaenda kuuza ndizi sokoni, akirudi anapalilia migomba halafu anakatia ng'ombe majani kisha anaandaa chakula, akimaliza anapika mbege halafu anatafta msesewe ili aweke kwenye mbege, baada ya hapo anakunywa mbege halafu analala! Anachoka sana mke wangu, hawez fanya hiyo ki2! Kiruuu.

Inampendeza bwana kuishi kwa matumaini
 
hili la baba 'kutembea' na mke wa mtoto wake ni moja kati ya aibu kubwa kabisa ktk jamii yetu.
 
usipate hofu...ni wavumilivu sana...kwa kiasi ambacho wanajiweka busy na shughuli za nyumbani wala hawafikirii hayo mambo ya 6X6.:A S-coffee:

unajidanganya wewe, jaribu kuchukua mmoja then mkisha maliza yale mambo ya 6 x 6 muulize yeye na wengine jinsi wanavyojisevia hamu ya hiyo maneno ndo utajua nini kinachoendelea. Bahati mbaya akijua wewe ni mwanaume wa kichaga, hawezi kukwambia. huwa wanawaambia wanaume ambao sio wa kichagga
 
Hivi msipotuongelea hampati raha nyie machalii? Ache wale vi2 we unajua mkeo au dem wako anagongwa na nan? Kaa kimya we suudu!

Mna mengi yaliyojificha yasiyojulikana na wengine. ndo maana jambo watu wakishalijua waliongelea weeeeeeeeeeee, mpaka basi. Si unajua ni ngumu sana kujua siri za kichagga kwasababu huwa hampendi kujichanganya na kabila nyingine ktk marriage
 
wee flora taratibu

hahahaha
kamchukue
mama lateuo
shaurilo hata
haka kanakokua
ukute c kako!!
Hivi nyie mnaweza?
I mean kukaa xmass
mpaka xmass hivihivii?
Sasa na kinababu
wanajua hilo
.utaskia mwali karibu
kitochi kikukolea
anamwambia ukiwa na shida uniambie mimi!
Then,anapewa na kitenge,hapo mchezo
kweshneh!!! Na baba huku town anatangaza
hana mke anakamata
wanawake hovyo
anampelekea mama vrus
pale rombo,ba mkwe anaingizwa kwenye grid ya taifa kiulainiiiiii lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom