rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,412
wakuu tupo moshi na tumeingia kijijini kwetu juzi,kwangu mimi ni muda mrefu kidogo sjafika huku kwa sababu ya shughuli za kazi, nimeshangaa sana kuona jinsi wakenya walivyojaa huku kijijini kwetu, nimefatilia nikapata jibu wanasaidia kwenye kazi za kulima, kukata miti n.k
kuna taarifa hata vijiji vingine ni the same, wachaga mlioacha wake zenu huku na kwenda kutafuta pesa kama walivyokuwa wakifanya wazazi wetu zamani mnakabiliwa na hatari ambayo hamjajua bado, hawa wakenya wana mahusiano na wake zenu na inaaminika wanawasaidia sana kwenye ile shughuli ya 6x6
utakuta mtu kasafiri mwaka mzima anarudi december anakaa kidogo anaondoka tena, zamani haikuwa hivi lakini mambo yamebadilika ghafla, kazi kwenu na wazee wenzenu wa kikenya, wasiwasi wetu ni kuzaliwa vitoto vinavyofanana na wakenya huku kwetu, wakuu hatutaki kabisa ile damu ya kikenya kuzaliwa kwetu, jitahidini kuwa na wake zenu karibu