Wachaga kwa swagz uwawezi!

Babuu blessed

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
1,362
490
Mangi kakamatwa na askari.alipofika kituoni mambo yalikuwa ivi.
Askari ...unaitwa nani?
Mchaga ... Mboya afande!
Askari... Wacha kufanya utani na chombo cha usalama.untaja sehemu zangu za siri.
Mchaga .. Hapana ilo ndilo jina langu babangu naitwa mboya afande.
Wacha jamaa achezee kichapo baadae ndo anasema mi naitwa
mr mboya
 
Basi kuna kina Mboro hao unaweza ukapiga na kuua bado ataendazikwa Lyasomboro kwa kina Mboro
 
Mangi kakamatwa na askari.alipofika kituoni mambo yalikuwa ivi.
Askari ...unaitwa nani?
Mchaga ... Mboya afande!
Askari... Wacha kufanya utani na chombo cha usalama.untaja sehemu zangu za siri.
Mchaga .. Hapana ilo ndilo jina langu babangu naitwa mboya afande.
Wacha jamaa achezee kichapo baadae ndo anasema mi naitwa
mr mboya

na afande akauliza,

Mboya nani?

mchaga: Mboya Joni

bahati mbaya afande anaitwa Joni lol!! kichapo zaidi
 
Back
Top Bottom