mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,513
- 10,404
Mkuu usiponde bure, and don't take thing for grantedHuna hoja, ni hivi kwa taarifa yako hapo bungeni ni sehemu ya kula hela za wananchi bila faida. Hilo bunge halina impact yoyote kwa wananchi zaidi ya kufuata utaratibu tu wa kuwa na bunge. Hayo malumbano wanayoleta wangalau wapinzani ndio hata wananchi wanaona wangalau kuna bunge. Lakini sikufichi wabunge wa upinzani wakiwa hawapo kinachoendelea hapo bungeni ni porojo ambazo serekali inatekeleza kwa kupenda na sio kufuata matakwa ya wananchi.
Someni alama za nyakati. For your information, wananchi wana imani hata bila msukumo wa wapinzani, safari hii hakuna madudu yanapitishwa humo hata kama watabaki ccm peke yao. Narudia tena ushauri wangu, someni alama za nyakati, mtaaribu kwa wananchi mkiendelea na tabia hiyo.