mambomengi
JF-Expert Member
- May 16, 2009
- 829
- 242
Kulipokuwa na tetesi kwamba kuna wabunge walitakakuhöngwa zaidi ya Mil. 300 iliwawapishe walioshindwa.........Ni lazima utambue Mbunge anapata pesa kibao zaidi ya hizi zinazowekwa nadharani
Achukue ila anunue gari la kawaida na nyingine asaidie yatimaMh. Lema mbunge wa Arusha akatatae hizo milioni 90 ili iwe mfano kwa wabunge wengine na wananchi kwa ujumla!!
shame on them,nawalaani wooote waliopokea,hata kama wachadema nao wamepokea tena wao ndo nawalaani zaidi!!!!Lema,mbowe,sweetheart wangu mdee na mylove wangu mnyika nawaalani pia kama mmekubali hizo hela za wanyanganyi hao inhali mwajua nchi yetu na hali za watanzania zilivo ngumu!!Naomba muwe mfano......
Hela hizo mzipeleke kwenye huduma za jamii,zito kigoma watt wanakalia mawe darasani tena hata madasa wanasomea ya makuti!!UBAO NDIO HAWANA KABISA......we lema arusha vijana ajira hawana kabisa tumia hela hiyo kufanya miradi utakayotengeneza japo ajira 200...
MMH JAMANI AFYA ETI HOSPITALI BINAFSI KWAHIYO NDOMAANA HAWAZIJALI HOSPITALI ZETU HATA!!!NDO MAANA WAMAMA WAJAWAZITO NA WATOTO WANAKUFA OVYO... NDO MAANA MWANANYAMALA IPO ILIVYO.....SABABU WAO WANATIBIWA TMJ, AGHAKAN....
MMMH.....INAUMA!!!!!!!!!!!!
Unajua sisi WaTanzania ni watu wa ajabu sana. Mh. Lema ametupa inside info ili wote kwa pamoja tuibane serikali yetu inaposema haina pesa kwenye mambo muhimu kama afya, shule nk lakini badala ya kulichukua hili suala kimsingi, tunataka symbolic gestures eti wabunge wa Chadema wakatae huo mkopo itasaidia nini?? Si zitaenda kwenye kuongeza furniture kwenye hekalu la spika linalojengwa???
Suala la msingi hapa ni Je:
1)Mawaziri na manaibu waziri 50 sababu wanatumia magarari na mafuta ya serikali 24/7 si wangenyimwa huo mkopo na kusave appro 5bn???
2) Speaker, Naibu Speaker, Mwanasheria mkuu, Former PM Lowassa, Kiongozi wa upinzani bungeni, Makamu wa raisi Zanzibar na wengine wenye vyeo kwenye vyama kama Chiligati, Makalla ambao wote wanapewa usafiri 24/7 hapo tungesave another 1bn.
3) wabunge wa viti maalaum na wanaochaguliwa na rais sababu hawana majimbo yanayohitaji kuwatembelea wapiga kura wao, nao mkopo NO, waende kwenye mabank kama wananchi wengine kuomba mikopo.
Lakini hata hili la mikopo sip ISSUE kubwa sana Tanzania, UFUJAJI wa hela ZETU unafanyika kwenye huu upumbavu wa posho za vikao. How come U attend a meeting during ur normal working hrs in a city where U live and U are getting a High Salary to begin with, unapewa POSHO YA NINI?? Hapa ndio Hundreds of Billions zinakofujwa kila mwaka.
HILI LI SERIKALI LA CCM linajua matumizi ya kijinga tu, lakini masuala kama Umeme, Maji, Hospitali, Mashule nk Oh no hamna hela.
shame on them,nawalaani wooote waliopokea,hata kama wachadema nao wamepokea tena wao ndo nawalaani zaidi!!!!Lema,mbowe,sweetheart wangu mdee na mylove wangu mnyika nawaalani pia kama mmekubali hizo hela za wanyanganyi hao inhali mwajua nchi yetu na hali za watanzania zilivo ngumu!!Naomba muwe mfano......
Hela hizo mzipeleke kwenye huduma za jamii,zito kigoma watt wanakalia mawe darasani tena hata madasa wanasomea ya makuti!!UBAO NDIO HAWANA KABISA......we lema arusha vijana ajira hawana kabisa tumia hela hiyo kufanya miradi utakayotengeneza japo ajira 200...
MMH JAMANI AFYA ETI HOSPITALI BINAFSI KWAHIYO NDOMAANA HAWAZIJALI HOSPITALI ZETU HATA!!!NDO MAANA WAMAMA WAJAWAZITO NA WATOTO WANAKUFA OVYO... NDO MAANA MWANANYAMALA IPO ILIVYO.....SABABU WAO WANATIBIWA TMJ, AGHAKAN....
MMMH.....INAUMA!!!!!!!!!!!!
Mh. Lema mbunge wa Arusha akatatae hizo milioni 90 ili iwe mfano kwa wabunge wengine na wananchi kwa ujumla!!
Mh. Lema mbunge wa Arusha akatatae hizo milioni 90 ili iwe mfano kwa wabunge wengine na wananchi kwa ujumla!!
that's what life goes brother,90bn+bima ya afya(private hospitals)+.....nani unategemea atasoma kwa ajili ya weledi isipokuwa kwa ajili ya siasa
Aint we politicising important issues......?, Dr Slaa Tried to go against this issue and failed because he did not have the back-up do you think a few Chadema's MPs (am sure not all of them will want their lifestyles to change) can do this alone??, its up to the voters and taxpayers to say enough is enough and tell their respective MPs that you need to lead a lifestyle that we can afford.. (and that money you are being paid we want it to do something else)..
After all we WANANCHI are the ones who put them there...,
Mkuu if you analyse this carefully we might be the ones to blame..., and we are doing it now instead of giving back-up these MPs who have came up with this we are just blaming them...
Mkuu sikatai kwamba Change starts with a single person, lakini its hard to mobilize watu tofauti wenye maslahi tofauti (even Chadema kuna watu wamekwenda pale to look for numero uno (number one))Kaka naona I want to say something....kama wewe ni kiongozi usitupe maneno tu, toa mfano....hivi wabunge wote wa CHADEMA wakasema that 90 million kila mmoja wao hawatazipokea kununulia magari......dont you think it will put pressure on wabunge wengine...kuna mbunge mmoja wa Kenya aliwahi kuwasilisha mshahara wake kwa KRA ( Kenya Revenue Authority) ili wamkata kodi, wakati bunge zima walipitisha kuwa wabunge wasikatwe kodi......he showed at least he is willing to, sio kama wengine wanajisaidia kichakani wewe ukasema mimi sina haja ya kutafuta choo na mimi nitajisaidia kichakani pia.....dont bullshit wananchi.....the change starts with even a single individual.....
kwani wewe haikuumi nini Mkuu ?Kama kweli imewauma kama lema alivyosema,atumie posho yake kwenye kununua ambulance ata mbili.
Mkuu sikatai kwamba Change starts with a single person, lakini its hard to mobilize watu tofauti wenye maslahi tofauti (even Chadema kuna watu wamekwenda pale to look for numero uno (number one))
Ndio maana nikasema Dr. Slaa alijaribu akakosa support na Lema anajaribu sasa naona anakosa Support. Mkuu watu wa kulaumu ni sisi wenyewe wananchi ambao tunangoja Lema au Dr. Slaa watutetee bila sisi wenyewe kuchukua hatua..., Makosa ni yako, yangu na wananchi wengine ambao tunawaachia wabunge wachote pesa bila kuwaambia kitu wakati sisi ndio wapiga kura na tukisema chochote tuna power ya kuwafanya wafate... ndio maana mkuu nikashauri wananchi wote tusimame side by side..ni sisi Who we can make a Change na Sio kutegemea fisi atulindie Butcher.
Naomba uangalie hapa chini uone ni nini unaweza kufanya
https://www.jamiiforums.com/tanzani...o-decrease-wabunges-salaries-a-must-read.html
Kweli Mkuu hii petition lazima ipate support ya watu ili ifanye kazi, kama Mheshimiwa Lema angekuwa hapa ingebidi tumpe ili atengeneze forms na zisambazwe au hata Dr. Slaa au Taasisi yoyote ambayo inaweza kusimamia hii issue.... Ukweli ni kwamba kuwaachia hawa jamaa wajipunguzie mishahara ni kama kumpelekea Ngedere kesi ya Tumbili....I agree with your petition..... na hii petition yako inaweza ikawa effective if we have forms where people can sign......
hapana apokee ila aonyeshe mfano akanunue gari la ambulance au fire huko Arusha mjini! Unajua wabunge wa Upinzani si sawa na wa CCM ambao hata waki-pretend kukataa hizo anasa wanachukua nyuma ya pazia e.g. Mtoto wa Mkulima! Wao woote wazipokee ila wafanye cha maana nazo kama kuanzisha mfuko wa maendeleo majimboni na si kwa kunulia magari ya anasa!Mh. Lema mbunge wa Arusha akatatae hizo milioni 90 ili iwe mfano kwa wabunge wengine na wananchi kwa ujumla!!