Wabunge wamejadili na kupitisha Sheria ya TISS chini ya kivuli Cha tume ya mipango

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Hakuna hata mbunge mmoja aliyekataa/kupinga mswada wa TISS mpya na ile ya tume ya mipango hii inaleta ukakasi hoja ya Zitto aliyosema wamemwambia haita jadiliwa bungeni, Zitto ni muongo Kwa hili .

Waziri amesema hakuna TISS atakaye lindwa na Sheria hii Kwa kupigana mitaani bali atalindwa kama tu alikuwa akitekeleza majukumu yake .

Mh . Rais Samia amemtuma waziri wa utawala Bora kuwa iwapo bunge litaipitisha Sheria hii basi atasaini siku hiyo hiyo (leo) na itaanza kutumika tarehe 1/7/2023

Yale makelele ya Zitto na Yericho humu ni kama kelele za tumbili msituni

USSR
 
Back
Top Bottom