Elections 2010 Wabunge waliokwisha tangazwa RASMI na Tume ya Uchaguzi...

Karatu -Chadema kidedea. Halafu hebu mnijuze, niliangalia ITV wakasema Arumeru magharibi CCM wameshinda, hapa naona ni Chadema! upi ni ukweli?
 
Kwa mwenye data kamili, mpaka sasa ni majimbo mangapi yameshachukuliwa na wapinzani?
Maana jana Kinana alisema ni majimbo 29 bara ccm wamepoteza na 22 visiwani...
Je idadi ni hiyo kweli????
 
Mpaka sasa yapo 53, majimbo mengine bado yanasubiriwa matokeo yake.

Kwa upande wa bara yapo 30.

Mchanganuo: CHADEMA 22
NCCR 4
CUR 2
TLP 1
UDP 1
Jumla kuu = 30
 
List hiyo imeongezwa hata ambao hawajashinda kama Ole Kisambu - Arumeru magharibi. Huko ni kijana machachari wa CCM Ole Medeye kashinda
 
1.Halima James Mdee -Kawe/Chadema
2.Tundu Lissu - Singida Mashariki/Chadema
3.Mustapha Quorro Akonaay- Mbulu/Chadema
4.Israel Yohana -Karatu/Chadema
5.John Mnyika -Ubungo/Chadema
6.Silinde David -Mbozi Magharibi/Chadema
7.Felix Mkosamali -Muhambwe/NCCR Mageuzi
8.Salvatory Naluyaga Machemuli-Ukerewe/Chadema
9.Agripina Z. Buyogela -Kasulu Vijijini/NCCR-Mageuzi
10.Ole Sambu -Arumeru Magharibi/Chadema
11.Augustine Lyatonga Mrema-Vunjo/TLP
12.Salum Barwani -Lindi/CUF
13.Joseph Mbilinyi -Mbeya Mjini/Chadema
14.Philemon Ndesamburo Kiwelu-Moshi Mjini/Chadema
15.Dk Antony Mbasa -Biharamulo Magharibi/Chadema
16.Machali Moses John-Kasulu Mjini/NCCR Mageuzi
17.Joseph Selasini -Rombo/Chadema
18.Hezekiah Wenje -Nyamagana/Chadema
19.Peter Msigwa -Iringa Mjini/Chadema
20.Freeman Mbowe -Hai/Chadema
21.Vincent Nyerere -Musoma Mjini/Chadema
22.Godbless Lema -Arusha Mjini/Chadema
23.Zitto Kabwe/C -Kigoma Kaskazini/Chadema
24.Hayness Samson -Ilemela/Chadema
25.John Shibuda -Maswa Magharibi/Chadema
26.Meshack Opulukwa -Meatu/Chadema
27.Sylvester Kasulimbayi Mhoja-Maswa Mashariki/Chadema
28. John Cheyo -Bariadi Mashariki/UDP
29. Bungaro Said -Kilwa Kusini/CUF
30. David Kafulila -NCCR Mageuzi
Wengine wanaendelea na kutoka ZnZ wapo 22

tuwekee na wa zanzibar majimbo yao na vyama vyao plz
 
Toleo hili litakuwa linafanyiwa marekebisho (UPDATES) kila mara itakapopatikana taarifa tofauti au ya usahihi zaidi, kwa mfano, wakati mwingine inakuwa rahisi kupata taarifa ya Chama kilichoshinda jimbo fulani lakini taabu kupata jina sahihi la mshindi. Ikiwa jina limekosewa, au kasoro yoyote itaonekana, tafadhali usisite kufahamisha ili kasoro irekebishwe.

Ushirikiano wako ni wa muhimu katika kufahamishana matokeo haya. Hakuna mmoja mwenye majibu yote, hivyo basi, ukiwa na taarifa za uhakika ziache kwenye kisanduku cha maoni ili kuharakisha "updating".

Chapisho hili itabaki kuwa ukurasa wa mwanzo hadi hapo Tume ya Uchaguzi, NEC, itakapotoa rasmi matokeo ya uchaguzi (kwa mujibu wa taarifa ipo hapo chini).

Ubunge Ukonga - Eugene Elishirima Mwaiposa/CCM
Ubunge Segerea - Dk. Milton Makongoro Mahanga/CCM
Ubunge Igunga - Rostam Aziz/CCM
Ubunge Liwale - Faith Mohammed Mitambo/CCM
Ubunge Njombe Mjini - Anna Makinda/CCM
Ubunge Ileje - Nikusama Kibona/CCM
Ubunge Kigoma Kusini - David Kafulila/NCCR Mageuzi
Ubunge Kilwa Kusini - Bungaro Said/CUF
Ubunge Muhambwe - Felix Mkosamali/NCCR Mageuzi
Ubunge Kilwa Kaskazini - Mustapha Mangungu/CCM
Ubunge Bagamoyo - Dk. Shukuru Kawambwa/CCM
Ubunge Bariadi Mashariki - John Momose Cheyo/UDP
Ubunge Bariadi Magharibi - Andrew John Chenge/CCM
Ubunge Bukombe - Prof. Kayigela Kahigi/CHADEMA
Ubunge Kalenga - William Mgimwa/CCM
Ubunge Mbozi Mashariki - Godfrey Zambi/CCM
Ubunge Korogwe Vijijini - Steven Ngonyani/CCM
Ubunge Pangani - Salim Pamba/CCM
Ubunge Same Magharibi - Dk. Mathayo David/CCM
Ubunge Mtera - Livingstone Lusinde/CCM
Ubunge Nzega - Dk. (Medical Doctor). Hamisi Andrea Kigwangalla/CCM
Ubunge Kigamboni - Dk. (Medical Doctor). Faustine Ndugulile/CCM
Ubunge Muleba Kaskazini - Charles Mwijage/CCM
Ubunge Kawe - Halima James Mdee/CHADEMA
Ubunge Muleba Kusini - Prof. Anna Kajumulo-Tibaijuka/CCM
Ubunge Same Mashariki - Anne Kilango-Malecela/CCM
Ubunge Mufindi Kusini - Menrad Lutengano Kigola/CCM
Ubunge Mufindi Kaskazini - Mahmoud Hassan Mgimwa/CCM
Ubunge Kondoa Kaskazini - Zabein Muhita/CCM
Ubunge Bahi (ipo Dodoma) - Omary Badwel/CCM
Ubunge Monduli - Edward Lowassa/CCM
Ubunge Hanang - Mary Nagu/CCM
Ubunge Singida Mashariki - Tundu Lissu/CHADEMA
Ubunge Misungwi - Mawematatu Charles Kitwanga/CCM
Ubunge Kwimba - Masoor Sharif/CCM
Ubunge Mbulu - Mustapha Quorro Akonaay/CHADEMA (mshindani wa karibu Philip Marmo)
Ubunge Karatu - Israel Yohana/CHADEMA
Ubunge Ubungo - John Mnyika/CHADEMA
Ubunge Manyovu (awali liliitwa Kasulu Magharibi) - Albert F. Ntaliba/CCM
Ubunge Rorya - Lameck Airo/CCM
Ubunge Sumbawanga Mjini - Aeshi Khalfan Hilal/CCM
Ubunge Tanga - Omar Noor Rashid/CCM
Ubunge Busanda (wilaya ya mkoa mpya wa Geita) - Bi. Lawrencia Bukwimba/CCM
Ubunge Mbozi Magharibi - Silinde David/CHADEMA
Ubunge Kibondo - CHADEMA
Ubunge Geita (wilaya ya mkoa mpya wa Geita) - Max Donald/CCM
Ubunge Nyang'hwale (wilaya ya mkoa mpya wa Geita) - Hussein Nassoro Mamari/CCM
Ubunge Ruangwa - Kassim Majaliwa/CCM
Ubunge Lulindi - Jerome Bwanaus/CCM
Ubunge Serengeti - Kebwe Stephen Kebwe/CCM
Ubunge Mwibara - Alfax Lugora/CCM
Ubunge Masasi - Mariam Kasembe/CCM
Ubunge Makete - Dk. Binilith Mahenge/CCM
Ubunge Ukerewe - Salvatory Naluyaga Machemuli/CHADEMA (mshindani wa karibu Gertrude Mongella)
Ubunge Manyoni - John Chiligati/CCM
Ubunge Bunda - Stephen Wassira/CCM
Ubunge Kasulu Vijijini - Agripina Z. Buyogela/NCCR-Mageuzi (mshindani wa karibu Daniel Nsanzugwako).
Ubunge Morogoro Kusini Mashariki - Lucy Nkya/CCM
Ubunge Bukoba Mjini - Khamis Kagasheki/CCM
Ubunge Njombe Kaskazini - Deo Sanga/CCM
Ubunge Njombe Magharibi - Gerson Hosea Lwenge/CCM
Ubunge Morogoro Kusini - Innocent Karogoresi /CCM
Ubunge Dodoma Mjini - David Malole
Ubunge Urambo Mashariki - Samwel Sitta/CCM
Ubunge Kyela - Harrison Mwakyembe/CCM
Ubunge Morogoro Mjini - Aziz Abood/CCM
Ubunge Arumeru Magharibi - Ole Sambu/CHADEMA
Ubunge Manyoni Mashariki - Lwanji/CCM
Ubunge Mkinga - CCM
Ubunge Kilosa - Mustapha Mkullo/CCM
Ubunge Namtumbo - Vita Kawawa/CCM
Ubunge Longido - Michael Lekule Laizer/CCM
Ubunge Kibaha - CCM
Ubunge Kisarawe - CCM
Ubunge Sumbawanga Mjini - CCM
Ubunge Moshi Vijijini - Cyril Chami/CCM
Ubunge Vunjo (ipo Kilimanjaro) - Augustine Lyatonga Mrema/TLP
Ubunge Mtwara Mjini - Murji Hasinen Mohamed/CCM
Ubunge Lindi - Salum Barwani/CUF (mshindani wa karibu Mohammed Abdulaziz/CCM)
Ubunge Tabora Mjini - Ismal Aden Rage/CCM
Ubunge Arumeru Mashariki - Jeremia Sumari/CCM
Ubunge Mwanga - Jumanne Maghembe/CCM
Ubunge Siha (ipo Kilimanjaro) - Aggrey Mwanri/CCM
Ubunge Mbeya Mjini - Joseph Mbilinyi (Mr. II aka Sugu)/CHADEMA
Ubunge Chato (awali liliitwa Biharamulo Mashariki) - John Magufuli/CCM
Ubunge Moshi Mjini - Philemon Ndesamburo Kiwelu/CHADEMA
Ubunge Songea - Dk. Emmanuel Nchimbi/CCM
Ubunge Bukoba Vijijini - Jasson Rweikiza/CCM
Ubunge Biharamulo Magharibi - Dk. Antony Mbasa/CHADEMA
Ubunge Kasulu Mjini - Machali Moses John/NCCR Mageuzi
Ubunge Mvomero - Amos Makalla/CCM
Ubunge Kigoma Mjini - Peter Serukamba/CCM
Ubunge Rombo - Joseph Selasini/CHADEMA (mshindani wa karibu Basil Mramba/CCM)
Ubunge Tarime - Nyambari Nyangweni/CCM
Ubunge Nyamagana - Hezekiah Wenje/CHADEMA (mshindani wa karibu Lawrence Masha/CCM)
Ubunge Babati Mjini - Chambiri Werema/CCM
Ubunge Iringa Mjini - Mchungaji Peter Msigwa/CHADEMA (mshindani wa karibu Monica Mbega/CCM)
Ubunge Hai - Freeman Mbowe/CHADEMA
Ubunge Singida Mjini - Mohamed Dewji/CCM
Ubunge Musoma Mjini - Vincent Nyerere/CHADEMA
Ubunge Peramiho - Jenista Mhagama/CCM
Ubunge Mpwapwa - George Tau/CCM
Ubunge Arusha Mjini - Godbless Lema/CHADEMA (mpinzani wa karibu Batilda Burian/CCM)
Ubunge Mbarali - Dickson Kiruvi/CCM
Ubunge Kigoma Kaskazini - Zitto Kabwe/CHADEMA
Ubunge Korogwe Mjini - Yusuf Nassir/CCM
Ubunge Ilemela - Hayness Samson/CHADEMA (mshindani wa karibu Anthony Diallo/CCM)
Ubunge Kongwa - John Ndugai/CCM
Ubunge Mtwara Vijijini - Hawa Ghasia/CCM
Ubunge Maswa Magharibi - John Shibuda/CHADEMA
Ubunge Tandahimba - Juma Njwayo/CCM
Ubunge Meatu - Meshack Opulukwa/CHADEMA
Ubunge Kibakwe - CCM
Ubunge Maswa Mashariki - Sylvester Kasulimbayi Mhoja/CHADEMA
Ubunge Urambo Magharibi - Prof. Juma Kapuya/CCM
Ubunge Bumbuli - January Makamba/CCM

Jumla ya majimbo ya Uchaguzi Tanzania 2010 ni 239. Bara 189 na Visiwani 50 (18 Pemba, 32 Unguja)
Dear all,
The 20.00 NEC results announcement today has been cancelled and the next announcement is scheduled for 11.00 am Tuesday 2 November.

Please find below the schedule of the announcement of preliminary statements
Best regards,
Oskar

ELECTION OBSERVER PRELIMINARY STATEMENTS / Press conference
GENERAL ELECTIONS TANZANIA 2010


from: - Habari
 
Back
Top Bottom