Salvatory Machemuli (Chadema Ukerewe)Inaelekea ni wa CHADEMA pekee, otherwise tuanze na wale 16 walipita bila kupingwa!!!!!!
Ina maana yule Mama amepigwa bao, au hakugombea mwaka huu?.Salvatory Machemuli (Chadema Ukerewe)
Kapigwa bao. Watanzania inafika mahali wanakuchoka na kukuzawadia zawadi waliompa mama Mongela. Na sasa kama anawapenda wakelewe wenzake na abaki hapo hapo Nansio akilima muhogo paoja nao. Aache longo longo.Ina maana yule Mama amepigwa bao, au hakugombea mwaka huu?.
Naomba ili kuondoa mkanganyiko katika jamvi letu,tujaribu katika post hii kuweka majina ya WALIOKWISHA TANAGZWA NA TUME(wakurugenzi ) ili kuondoa utatamimi naanza1.Vicent Nyerere-Musoma Mjini(CHADEMA)2.Peter Msigwa-Iringa Mjini(CHADEMA)3----------------Tuendelee kwa mfumo huu